Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa bro umesema mini PC ya laki 3. Mini PC ya laki 3 ina core i7? Mini PC za laki 3 zina intel Atom tuWeee jamaa nani kakudanganya kuwa min pc zote zina hiyo Atom.
Min pc kibao zina intel kiuanzia core 2duo hadi i7.
Yaani laptop ziweze kuwa na processor kubwa then min pc ishindwe kweli???
Yaan dell optiplex 3020 ni mini PC? Mini PC ni size hii [emoji3596]Kuna lenovo, dell optiplex 3020 core i5/ i7 4th gen ni ndogo kabisa.
Hata ya 2duo anaweza pata kwa hiyo hela.Sasa bro umesema mini PC ya laki 3. Mini PC ya laki 3 ina core i7? Mini PC za laki 3 zina intel Atom tu
Hii kwako sio min?Yaan dell optiplex 3020 ni mini PC? Mini PC ni size hii [emoji3596]View attachment 1600977
Mkuu min pc inauwezo wa kustream 1080p?Nijuavyo swala la streaming linategemeana na network. Akichukua min pc ataenjoy zaidi game za windows ambazo ni bora zaidi.
Unapokuja kwenye swala la performance mkuu computer haina mpinzani. (Pc)
Me naendelea kumshauri achukue min pc. Atakuwa kaua ndege wawili kwa jiwe moja. Akipata na wireless mouse mambo yanakuwa rahisi kabisa.
Wee unavyofikiri kipi kitazuia kama network ipo vyema?Mkuu min pc inauwezo wa kustream 1080p?
Hazina apps nyingi hzo.Na Mimi ninayetaka kununua LG smart yenye webOS, nami nitafaidi au itakula kwangu?
Vp Kuna LG zenye Android?Hazina apps nyingi hzo.
Inategemea na unachotaka, kama unalipia Netflix Webos ipo fresh sababu ipo optimized na Tv.Na Mimi ninayetaka kununua LG smart yenye webOS, nami nitafaidi au itakula kwangu?
Zinastream hadi 4k, media capabilities za computer cpu zipo vizuri kushinda simu, hakikisha tu unatafuta cpu ambayo ni latest.Mkuu min pc inauwezo wa kustream 1080p?
PamojaZinastream hadi 4k, media capabilities za computer cpu zipo vizuri kushinda simu, hakikisha tu unatafuta cpu ambayo ni latest.
Mini PC zinazingua, zina processor za zaman na zinazingua kuplay video za high resolution. Unafaham kua Intel Atom zilizopo kwenye mini PC zina uwezo mdogo sana yaani. Video ya 1080p tu inaitoa jasho. Huwezi hata cheza game yoyote ya maana mule kma utakazo weza kucheza kwenye Mi TV box ambayo ni bei chee kuliko mini PC
Hzo zipo capable. Jamaa alisema ya laki 3. Intel nuc haiwezi kua laki 3 hata kwa dawa. Ila mi naona tu kma mtu anataka kua na smart TV ni bora achukue android TV tu ambazo zinarange kwenye laki na 30 kushuka chini. Ssa kweli unataka smart TV alaf unaenda kununua PC nzima kabisa ya nini sasa.Pengine unaongelea mini pc za zamani. Umeshajaribu kutumia intel nuc ?
Kuhusu kununua pc, pia kuna issue ya matumizi ya umeme. Tv box zina matumizi madogo ya umeme.Hzo zipo capable. Jamaa alisema ya laki 3. Intel nuc haiwezi kua laki 3 hata kwa dawa. Ila mi naona tu kma mtu anataka kua na smart TV ni bora achukue android TV tu ambazo zinarange kwenye laki na 30 kushuka chini. Ssa kweli unataka smart TV alaf unaenda kununua PC nzima kabisa ya nini sasa.
Mkuu Android tv ni ya juzi tu, HTPC (Home theatre pc) zipo miaka na miaka kuna case zake zinakuwa na Display kwa mbele na infrared.Hzo zipo capable. Jamaa alisema ya laki 3. Intel nuc haiwezi kua laki 3 hata kwa dawa. Ila mi naona tu kma mtu anataka kua na smart TV ni bora achukue android TV tu ambazo zinarange kwenye laki na 30 kushuka chini. Ssa kweli unataka smart TV alaf unaenda kununua PC nzima kabisa ya nini sasa.
Hata pc ukitaka yenye matumizi madogo ya umeme zipo kuanzia 2W mpaka 10W zimejaa kibao.Kuhusu kununua pc, pia kuna issue ya matumizi ya umeme. Tv box zina matumizi madogo ya umeme.
Tatizo ndio hivyo pc zinazokula umeme mdogo ni mtori kabisa. Kuanzia processor, gpu hata resources zake zingine ni ovyo.Hata pc ukitaka yenye matumizi madogo ya umeme zipo kuanzia 2W mpaka 10W zimejaa kibao.
Ni kweli, lakini uki compare nguvu ya pc yenye 2w ni sawa tu na android. Na kama una pesa pc stick ya core M ina nguvu sana compare na tv za android japo iko kwenye mfumo wa stick tu na kutumia 4WTatizo ndio hivyo pc zinazokula umeme mdogo ni mtori kabisa. Kuanzia processor, gpu hata resources zake zingine ni ovyo.