Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,080
Leo nikiwa kwenye baa moja nilipata kusikia watu wakijadiliana mada ya matumuzi ya ARV na pombe. Waendesha mada walikuwa wanasema kwamba mtumiaji wa ARV anaweza kunywa dawa na baada ya masaa 3 akanywa pombe. Je kama ni kweli imekaa namna gani? Professional Doctorz only.