Matumizi ya asali, tango na limao


Mh mzizikavu hebu nisaidie pia kujua kama Kuna uhusiano wowote Kati ya limau,asali na maji kama tiba ya flu,nimesikia watu wakisema ni tiba.
 


Mkuu MziziMkavu kwa upande
wangu umeni quote tofauti kabisa hebu rejelea post yangu post yangu
mim sikusema kuwa asali na limao sumu ila milizungumzia kuhusu asali na tango
lkn bado nilitumia heshima kukuita/kukunotify na kusema mimi sio Dr ila yupo m1 wao wa dr wetu!! Mkuu kumbuka mara nyingi tu umekuwa ukisaidia baadhi ya vitu humu kumbuka avatar na username yangu kama nimewah kukusea busara zozote tena ktk watu ninaowaheshimu na niliowakuta u're among of them! Kama nikweli niyasemayo na imani utatengua kauli yako hapo kwenye Blue!
Kweli kabisa hapo pamenifanya nijiskie vibaya kwa kukosolewa kwa staili hiyo nilitegemea ungenisahihisha hata mleta mada kashukuru kasahihishwa alivyokuwa anaelewa kwa hata Herbalist huwa wanatofautiana
kama TFDA ilivyoona kuwa mafuta ya ubuyu sumu kama chakula lakin walipitisha diclopar na diclofenac zitumike af Radio dutch velle ya ujeruman kuwa ni
sumu inayoleta kansa!!
Ipi ni ipi??
 
Last edited by a moderator:
Mimi najua kwamba ukichanganya asali na tango ndiyo sumu. LAKINI sijawahi kufanya hiyo experiment ila nachukua tahadhari kubwa sana kuchanganya hivyo vyakula viwili nsjie nkafa bure, mwanangu bado mdogo.
 
Amani kwenu wanajukwaa. Naomba kujua kitaalam iwapo kuna madhara ya kula tango na asali au limao kwa wakati mmoja, maana kuna rumours kwamba mchanganyiko wa asali ama na limao au na tango hufanya sumu hatari ikiwa utatumika kwa kula.
 
TANMO Simaanishi mchanganyiko bali ni kula hivyo vitu separately ndani ya muda mfupi hata kama si kwa kukusudia.
 
Amani kwenu wanajukwaa. Naomba kujua kitaalam iwapo kuna madhara ya kula tango na asali au limao kwa wakati mmoja, maana kuna rumours kwamba mchanganyiko wa asali ama na limao au na tango hufanya sumu hatari ikiwa utatumika kwa kula.

Ni kweli mi najua asali na tango ukila pamoja nasikia unakufa inakaba au inakwama kwenye koo unashidwa kupumua vzr.
 
asali na limao sidhani kama italeta sumu...ila tango ndio utofautishe muda kidogo si kwamba ukichanganya utakufa siku hiyohiyo, hapana....ni muingiliano wa vimeng'enya unatokea unaotengeneza sumu kidogo.... sasa sumu kidogo kidogo mwisho wa siki ni tatizo hasa ikiwa mwili wako hauko imara... hilo limao uwe unachanganya kwenye maji glass moja kunya kila siku asubuhi kabla ya chakula kulipa ini nguvu ya kupambana na sumu kama hizo.
 
Ahsanteni wote,lakini topic bado ipo hewani kwa mwenye mchango zaidi.
 
Kila siku nakunywa chai ninayo unga asali na limao...

Hapo tayari kuna kiwango cha maji na majani ya chai kimeongezeka, kama nimemwelea jamaa yaani TANGO, ASALI NA LIMAO bila diluting chochote hapo
 
Hizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…