Matumizi ya boom ogopa sana

Matumizi ya boom ogopa sana

Yesar

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
300
Reaction score
17
Nyama choma,gambe kama 2livyo,kwenda club,kuonga watoto wazur,shoping za mliman city,rob 1 uxsahau wale wa kununua utamu
BAADA YA KUFULIA
wali wa mia 8,maji ya ku stream na c kudownload, kimboka na c kuonga tena kwa madada ze2 ndo lawama
Boom all eyes on You
 
Think extensively kabla hujakurupuka na kufungua thread
 
People me najua wengne mpo hapo hapo sema mnapenda show of xna
 
Back
Top Bottom