Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumapili nilikuwa naongea na vijana wawili ambao ni watoto wa ndugu zangu ila kila mmoja na Baba yake. Yaani wenyewe hawana undugu.ChaGpt imekujibu :
Hoja yako inaonyesha wasiwasi mzuri kuhusu athari za mifumo ya akili bandia kama ChatGPT kwa uwezo wa kufikiri wa mwanadamu. Hapa kuna baadhi ya mambo ya kuzingatia:
1. Urahisi wa Kufikia Taarifa: Mifumo ya AI inaweza kufanya upatikanaji wa taarifa kuwa rahisi na haraka, na hivyo kupunguza hitaji la kufikiria kwa kina au kufanya utafiti wa kina. Watu wanaweza kuwa na mazoea ya kutegemea sana teknolojia badala ya kutumia juhudi zao za akili.
2. Kudumaa kwa Akili: Kutegemea sana AI kunaweza kupunguza uwezo wa mtu wa kufikiri kwa ubunifu, kutatua matatizo kwa njia ya kipekee, na kutumia ujuzi wa kuhoji. Hii inaweza kusababisha kupungua kwa uwezo wa kuchanganua na kuzingatia masuala kwa kina.
3. Mafunzo ya Kifaa cha Akili: Watu wanaweza kupoteza ujuzi wa kimsingi kwa sababu ya kutegemea vifaa vya akili bandia. Kwa mfano, uwezo wa kufanya hesabu za kawaida unaweza kudhoofika kwa sababu ya kutumia programu za hesabu.
4. Upotevu wa Maarifa ya Kibinadamu: AI inaweza kuchukua nafasi ya kazi ambazo zilikuwa zinahitaji maarifa ya kibinadamu, na kusababisha kupungua kwa ujuzi wa vitendo. Hii inaweza kusababisha maarifa ya kihistoria na ujuzi wa kitamaduni kupotea.
Hata hivyo, mifumo ya AI inaweza pia kutumiwa kwa njia nzuri ili kuongeza uwezo wa mwanadamu. Inatoa fursa za kujifunza, kuunda, na kutatua matatizo kwa ufanisi zaidi. Ni muhimu kwa watumiaji kujenga uelewa wa jinsi ya kutumia AI kwa usawa, kwa kuzingatia umuhimu wa kuhifadhi na kukuza uwezo wao wa kufikiri na kujifunza.
Hao DIT ni wajinga sana kwamba wao ni bora kuliko Al? Jibu ni hapanaJumapili nilikuwa naongea na vijana wawili ambao ni watoto wa ndugu zangu ila kila mmoja na Baba yake. Yaani wenyewe hawana undugu.
Wa kwanza anasoma IFM. Akamiambia kuwa kwa IFM wao wanatumia AI kufanyia term paper, class assignment etc. Akasema kuwa hata lecturers hawana shida na hilo
Wa pili anasoma DIT. Aakaniambia kuwa kwa DIT unaweza tu kutumia AI kusoma na kuchukua notes. Lakini ukitumia AI kujibia assignment au term paper basi Lecturers wao wanayo application inayo detect plagiarism ya AI. Na ukikutwa umeitumia waweza kufelishwa.
Nimeipenda DIT kwa hili, Big Up
Hawana shida kwenye kusomea kwa kutumia AI, bali wakati wa kujibu maswwli ya assignment. Mwanafunzi inabidi a reproduce alichojifunza na siyo plagiarismHao DIT ni wajinga sana kwamba wao ni bora kuliko Al? Jibu ni hapana
tunabaadhi ya walimu ni watu dormant sana Hawapo kupokea mawazo ya nje walichokiamini.
Dunia ya leo nihangaike kwenda maktaba wakati simu ipo na inakila kitu.
hivi bado system ya software plagiarism IFM hakunaJumapili nilikuwa naongea na vijana wawili ambao ni watoto wa ndugu zangu ila kila mmoja na Baba yake. Yaani wenyewe hawana undugu.
Wa kwanza anasoma IFM. Akamiambia kuwa kwa IFM wao wanatumia AI kufanyia term paper, class assignment etc. Akasema kuwa hata lecturers hawana shida na hilo
Wa pili anasoma DIT. Aakaniambia kuwa kwa DIT unaweza tu kutumia AI kusoma na kuchukua notes. Lakini ukitumia AI kujibia assignment au term paper basi Lecturers wao wanayo application inayo detect plagiarism ya AI. Na ukikutwa umeitumia waweza kufelishwa.
Nimeipenda DIT kwa hili, Big Up
Kupanda magari, kutumia computers, kutumia machines, kutumia simu kote huko ni kumlemaza mtuUwezo wa kufikiri wa mwanadamu unazidi kuathiriwa na matumizi ya mifumo ya akili bandia kama ChatGPT na mifumo mingine. Ni kweli inarahisisha mambo kwa kiwango cha juu lakini akili za mtu zinazidi kudumaa.