Duh! Hii itakuwa kati ya zile zile zetu wabongo. Nakumbuka nikiwa chalii, tulikuwa tunaambiwa ukikutana na kinyonga unajitemea mate kiaina mwili mzima ili kuzuia asichukue rangi yako. Sikumbuki kama ilikuwa inafanya kazi.
Hahaaaa inawezekana mkuu lakini huwezi amini ukiona watu wanavyotoa ushuhuda kuhusu chumvi.Duh! Hii itakuwa kati ya zile zile zetu wabongo. Nakumbuka nikiwa chalii, tulikuwa tunaambiwa ukikutana na kinyonga unajitemea mate kiaina mwili mzima ili kuzuia asichukue rangi yako. Sikumbuki kama ilikuwa inafanya kazi.
Hahaaaa inawezekana mkuu lakini huwezi amini ukiona watu wanavyotoa ushuhuda kuhusu chumvi.
MziziMkavu njoo huku fastaaaWajinga Ndiyo Waliwao.
Na chumvi haipatani na uchawi wwt hivo n vizur kuuondoa uchawi kwa kutumia chumvi tena hasa ile ya mawe ndo nzuri zaidiKivipi mkuu fafanua ,nahitaji kujua
Usiokoke kuliko Bibliasubuli wanakuja washirikina
Ungemuuliza usipojipanga huko huko insta,au ukajiunge na grupu lake la whatsapp.au kiingilio ni shida mkuu?Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.