Hahahah una cruise kwenye 200km/h mkuu kweli hujitakii mema 😁😁😁 ingekumwaga hasa kwenye slippery roads. Ku hold mzunguko walau kwa 80km/h ni safe atleast ila zaidi ya hapo unajiweka katika position mbaya in case of emergencies.mana niliwai kuijarib @ 200km/h kwny lami mvua inanyesha. mliman ikataka kugeuka inakotoka kuhama njia km vile tair zmezdiwa mzunguko zkateleza
Ooh nilijua wewe ndio user[emoji23][emoji23][emoji23] ina ngapi ?duhh mnawaonea wenzenuu
Inayo lakini haifiki[emoji23][emoji23][emoji23] ina ngapi ?duhh mnawaonea wenzenuu
Baby walker lol gari nzuri sikua tu mpenzi wa hizo gariOoh nilijua wewe ndio user
Or active cruise controlsiku hizi kuna advancement ya cruise control ambayo inaitwa ADAPTIVE CRUISE CONTROL gari zenye hii Adaptive Cruise Control zina sensor pale mbele mfano we umeset Cruise Control kwenye Speed 100km/h halafu ukakutana na gari mbele yako inakwenda kwa speed ya 80km/h basi gari yako automatic itapunguza mwendo na kuwa sawa na yule aliye mbele yako yaani wote mtakuwa na speed ya 80km/h bila ww kukanyaga break na ikiwa yule wa mbele yako ataongeza speed na yako automatic itaongeza kuendana na yule wa mbele. Hii imewekwa ili kuepusha ajali ambazo zilikuwa zinatokea hasa ulaya huko.View attachment 1184525
We ni mmoja wa hawa wanawake wanaoendesha magari ya kifahari?Baby walker lol gari nzuri sikua tu mpenzi wa hizo gari
Ah kawaida tuWe ni mmoja wa hawa wanawake wanaoendesha magari ya kifahari?
Huwa naishia kuyatizama tu.
Njoo pm bas uninong'oneze dada mzuriAh kawaida tu
Afterall mtu akisema tutarudi kulekulee kila mtu JF tajirii lol kumbee[emoji23]..
Mkuu naomba nipishane na wewe hapo. Kwanza mimi nilimuuliza RRONDO kama amemaliza kisahani kwa sababu kuna uzi mmoja aliandika kuhusu top speed ya hiyo gari,na kulikuwa na mjadala kama amalize kisahani au vipi ndio maana mimi nikaamuliza,na muulizwaji mwenyewe nadhani alofahamu kwa nini nilimuuliza na akajibu vizuri sana.Kwenye magari ya kimarekani spidi hiyo unaifikisha kirahisi tu ukiwa kwenye highway kwani ni kama 150mph ambazo zinafikika sana. Ila kwa vile sehemu nyingi kuna spidi limit za kuazia 60MPH hadi 85mph utabanwa usiifikie, ila ukitaka wewe nenda Montana ambako utapiga mpaka 150mph bila matatizo kabisa
Sikujua majadiliano yenu ya nyuma ila nilikuwa naongelea kuhusu gari kufikia speed ya mwisho inayoonekana kwenye speedometer; watu wengi wamekuwa wanadhani hazifikiwi lakini zinafikiwa tu kulingana na hali ya barabara.Mkuu naomba nipishane na wewe hapo. Kwanza mimi nilimuuliza RRONDO kama amemaliza kisahani kwa sababu kuna uzi mmoja aliandika kuhusu top speed ya hiyo gari,na kulikuwa na mjadala kama amalize kisahani au vipi ndio maana mimi nikaamuliza,na muulizwaji mwenyewe nadhani alofahamu kwa nini nilimuuliza na akajibu vizuri sana.
Haya sasa narudi kwenye maelezo yako,kwanza kwa USA highway ambayo inaruhusu mwendo wa kasi zaidi kuliko zote kwa sasa ni I-130 iliyopo texas na speed limit ni 85mph zidisha kwa 1.6 kupata kph.Na hakuna highway ya montana inayozidi 75mph,kama nimekosea naomba tu unitajie hiyo highway. kwa USA labda uende race truck ndo unakuwa huru kupiga uwezavyo au sehemu kama Bonneville Salt flats huko Utah ndo unaweza.Kumbuka hiyo sio highway.
Ungeniambia Autobahn amabzo zipo German ndo ningekuelewa maana hazina speed limit.
hizo highway sehemu unazozisema mimi nimeshapita sana huko maana ndo makazi yangu huku kwa miaka mingi sana.
Bado tunatofautiana hapo kwa montana.Barabara zote za USA zina majina au namba,na mimi napenda kwenda na evidence ndo maana nilipokutolea mifano,nilikupatia na majina ya hizo barabara na speed limit zake,ina maana kama hukubaliani na maelezo niliyotoa unaangalia. Sasa unapoandika tu barabara za montana bila kunipatia jina la hiyo barabara inakuwa ni story za kijiweni mkuu.Sikujua majadiliano yenu ya nyuma ila nilikuwa naongelea kuhusu gari kufikia speed ya mwisho inayoonekana kwenye speedometer; watu wengi wamekuwa wanadhani hazifikiwi lakini zinafikiwa tu kulingana na hali ya barabara.
.
Kuhusu speed limita za Montana, ni kweli, Montana baada ya kubaniwa fedha za USDOT kutokana na speed limit ndipo wakaweka speed limits kwenye Interstate, US Highways, na State Highways. Lakini County Highways nyingi bado hazina speed limits mradi hazishare road fund na State au US Govt. Ukiwa kwenye barabara hizo za county wewe ni kanyaga twende tu mpaka umalize sahani yako. Nyingi ni tambararare na zimenyooka moja kwa moja
Siwezi kukariri namba za barabara ambazo situmii kila siku labda kama sina vitu vingi vya kuweka kichwani. Ni kweli kuwa barabara kuu za US zina namba ambazo ni za aina nne: Interstate, US Highways, State Highways, na Countty Highways. Namba za barabara hizo nyingi zinaingiliana, kwa maana ya kuwa zinakuwa serviced na funds mbalimbali. Sehemu kubwa ya Highways za Montana sasa hivi zina speed limits kutokana na kuwa na sheria ya speed limits kwenye Interstate, US Highways na State Highywas, lakini hakuna sheria inayobana Counties kushusha speed limits zao. Kwa hiyo bado kuna Counties ambazo zinatumia speed limit inayoitwa Reasonable and Prudent kwenye baadhi ya barabara zao labda kama wameondoa miaka ya hivi hivi karibuni. Nilizipitia miaka sita iliyopita wakati ninakwenda na familia yangu kule Yellow Mountains hakukuwa na speed limit kabisa.Bado tunatofautiana hapo kwa montana.Barabara zote za USA zina majina au namba,na mimi napenda kwenda na evidence ndo maana nilipokutolea mifano,nilikupatia na majina ya hizo barabara na speed limit zake,ina maana kama hukubaliani na maelezo niliyotoa unaangalia. Sasa unapoandika tu barabara za montana bila kunipatia jina la hiyo barabara inakuwa ni story za kijiweni mkuu.
No speed limit[edit]Siwezi kukariri namba za barabara ambazo situmii kila siku labda kama sina vitu vingi vya kuweka kichwani. Ni kweli kuwa barabara kuu za US zina namba ambazo ni za aina nne: Interstate, US Highways, State Highways, na Countty Highways. Namba za barabara hizo nyingi zinaingiliana, kwa maana ya kuwa zinakuwa serviced na funds mbalimbali. Sehemu kubwa ya Highways za Montana sasa hivi zina speed limits kutokana na kuwa na sheria ya speed limits kwenye Interstate, US Highways na State Highywas, lakini hakuna sheria inayobana Counties kushusha speed limits zao. Kwa hiyo bado kuna Counties ambazo zinatumia speed limit inayoitwa Reasonable and Prudent kwenye baadhi ya barabara zao labda kama wameondoa miaka ya hivi hivi karibuni. Nilizipitia miaka sita iliyopita wakati ninakwenda na familia yangu kule Yellow Mountains hakukuwa na speed limit kabisa.
View attachment 1187145