Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
- Thread starter
- #21
Leaders aren't born. They are made. Kikwete alitumia muda mwingi kukimbiza mwenge. Je unategemea nini?
Nimependa sana observation yako hiyo; hayo ni matokeo ya kuwa na mfumo mbovu wa kisiasa, kuwa ili uchaguliwe ni lazima usimamishwe na chama chako, wakati utaratibu wa kusimamishwa na chama nao umepindapinda. Iwapo Marekani wangenkuwa na utaratibu kama wa Tanzania, basi leo hii Obama asingekuwa rais wa Marekani kwa vile ma-alwatani wote wa democrat walikuwa chini ya Hillary.