SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
hakusoma kufikia kiwango cha kuwa daktari wa falsafa, ni daktari wa kuitwa kama walivyo mafundi kuona, na ukifuatilia kwa makini watu wanaojua nini maana na hadhi ya daktari wa falsafa hawezi kumita jk dr, wanaomuita kwa mjibu wa utafiti ni waandishi wa habari makanjaja, kijiwe chao kiko pale bamaga al maarufu tbc, wengine ni kitenge,musiba, muyenjwa, tilata and co.