Matumizi ya energy ni bomu kwa Vijana Afrika

Nilifululiza Hanson choice na redbull siku 3 mfululizo.. Niliugua wiki nzima
 
Hata hivyo hii ni miyeyusho tu
 
Wakati huo wauzaji wamiliki wakiingia kwenye rekodi za matajiri [emoji24][emoji24][emoji24]
Na sisi tukizidi kuwatajirisha na kujiandalia magonjwa ya uzeeni, kama kansa, kisukari, hitilafu za moyo n.k

Cha msingi mkuu, ni mazoezi ya mara kwa mara, na kunywa maji ya kutosha, kidogo itasaidia kupunguza sumu tunazozikusanya mwilini.
 
Hivi mo energy iliwekwa nini aisee maana kila pombe kali niliyowahi kuchanganyia haijawahi kuniangusha.
Tukianza na mixture ya mo energy berry flavor & double kick potable cane spirit kuna ladha flani hivi kama vilizaliwa pamoja.
Ukija kuichanganya na K-vants ndio kabsaa hutaicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…