Matumizi ya energy ni bomu kwa Vijana Afrika

Na sisi tukizidi kuwatajirisha na kujiandalia magonjwa ya uzeeni, kama kansa, kisukari, hitilafu za moyo n.k

Cha msingi mkuu, ni mazoezi ya mara kwa mara, na kunywa maji ya kutosha, kidogo itasaidia kupunguza sumu tunazozikusanya mwilini.
Natamani hii comment ingekuwa kama tangazo kwa manufaa ya jamiii mitandaoni na kwenye vyombo vya habari
 
Jaribu na Hanson choice.. Matusi yamesingiziwa
 
Yote kushindana na papuchi mwisho wa siku utaumia ww .
 
Natamani hii comment ingekuwa kama tangazo kwa manufaa ya jamiii mitandaoni na kwenye vyombo vya habari
Mchango wangu mdogo tu, lakini bandiko lako la uzi limebeba taarifa kwa marefu na mapana ambalo limefungua watu wengi zaidi. Naomba ukipata muda uje na bandiko la wavuta sigara kwa sababu naona na wao wanaangamia siku hadi siku.
 
Mwenye sikio na asikie.
 
Tulienda ukweni muoaji akajisahau akaagiza Energy aisee tulijitetea kwa mashemeji balaa.
Muoaji anasema yeye kazoea tu ni kama soda.
Mrejesho wake Ndoa ilidumu miezi sita mwanamke akaomba waachane.
 
Sema Kaka hizo energy zina shughuli
Ukimkamata mtu lazma akuelewe.
Uongo dhambi.
Sana Sana jembe energy shughuli yake sio ya kitoto
Hakuna uafadhari ni kujiangamiza kidogo kidogo.

Kama ni mfanya kazi ngumu basi kinyaji bora ni Maziwa FRESH yakiwa na kahawa kiasi, Waweza kunywa wakati wowote wa siku.
 
Mchango wangu mdogo tu, lakini bandiko lako la uzi limebeba taarifa kwa marefu na mapana ambalo limefungua watu wengi zaidi. Naomba ukipata muda uje na bandiko la wavuta sigara kwa sababu naona na wao wanaangamia siku hadi siku.
[emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Tulienda ukweni muoaji akajisahau akaagiza Energy aisee tulijitetea kwa mashemeji balaa.
Muoaji anasema yeye kazoea tu ni kama soda.
Mrejesho wake Ndoa ilidumu miezi sita mwanamke akaomba waachane.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huku vijijini ndo RiPLESIMENTI ya soda watu wanabugia kwa kwenda mbele utazani chai bila kujali umri, hata vitoto vidogo
nimemshauri rafiki yangu aliweza kuacha cku2 tu kaanza tena kwa cku anapiga2.Na kuna siku nilienda semina tukaambiwa kila mmoja aagize kinywaji.%80 waliagiza soda na 10tu maji.Hatari.Unamkuta mtu anakula chakula anapiga na energ au soda halaeu sigara laah!
 
Natamani hii comment ingekuwa kama tangazo kwa manufaa ya jamiii mitandaoni na kwenye vyombo vya habari
Kaka mshana nimekutafuta PM nimeambiwa siwezi kuanzisha conversation. Nilikua naomba msaada kidogo. π– π—Œπ–Ίπ—‡π—π–Ύ
 
Ongezeko la magonjwa ya moyo, shinikizo la damu, sukari na figo ni pigo takatifu linakisubiri kizazi cha nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…