Matumizi ya energy ni bomu kwa Vijana Afrika

Basi hali ni tete sana huko mitaani,maana kuna siku nilikaa sehemu kuna jamaa mtu mzima around 45yrs alikuwa anachanganya Redbull na KVant,nilijiuliza kama mchanganyiko huu ni salama sikupata majibu,na kama hii ni kweli basi wanaumia wengi...
Mi mmoja wapo na Niko range ya umri huoo tusubirie tuu kuchimbiwa kaburi, ila kuanzia Leo sichanganyi tena
 
Uzuri ni kwamba Mungu alipotuumba, miili yetu aliipa self healing mechanisms. Mwili unatoa alert kwamba something is not okay and you should change your lifestyles and eating habits. Ukichukua hatua mapema mwili unajiponya wenyewe. Ukichelewa damage ikawa kubwa ndiyo inakuwa imekula kwako
 
Nilikuwa natumia energy drink nikiwa nafanya mazoezi gym ilikuwa inaniletea shida yani mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi nikiwa nafanya mazoezi.nikaacha completely....
 
Sema Kaka hizo energy zina shughuli
Ukimkamata mtu lazma akuelewe.
Uongo dhambi.
Sana Sana jembe energy shughuli yake sio ya kitoto
Acha kudanganya watu!washauli watu wafanye mazoez [emoji125]
 
Eti wanachanganya na panadol, k-vant ili wasimamie show vizuri. Ujana una kazi sana..
Dah kwakwel inasikitisha Sana vijana 2ngamia na iyo msumu! Tufanye mazoez [emoji125] iyo ndio tiba ya uwakika ya nguvu za kiume
 
Bora useme wewe mimi ktk estimate nimefanya vijana wengi wakifika 40yrs kazi hawana why energy drink
Pili vifo vya ghafla vingi kwa sasa vya vijana na watu wazima mchawi Energy..
Tatu energy ya kweli value yake ni 4000 energy nchi za ulaya ina tax kubwa ili isinunuliwe kirahisi maajabu hapa kwetu nahisi kunamtu anavuna while taifa lina angamia. Energy 500 u kill the nation... Silence.
 
Daktari mmoja aliniambia wakitangaza hadharani hayo madhara wataingi kwenye vita kubwa sana, wameamua kukaa tu kimya, maana hiyo inawafanya watu wengine kuendelea kuwa mabilionea, huku afya za vijana zikiteketea
 
Daktari mmoja aliniambia wakitangaza hadharani hayo madhara wataingi kwenye vita kubwa sana, wameamua kukaa tu kimya, maana hiyo inawafanya watu wengine kuendelea kuwa mabilionea, huku afya za vijana zikiteketea
BigBro
 
Aya makorokoro siyapendi hata kidgo,

Kuna kipindi niliiga kdg nikachanganya na k-vant, nijue stimu yake

Nilijihisi Kama roho inataka kuacha mwili,nikaacha[emoji848]
 
Ya huku Bushgwamhala hizo ndio soda zetu,tunabugia baada ya hapo tunaingia shambani.
 
Ya huku Bushgwamhala hizo ndio soda zetu,tunabugia baada ya hapo tunaingia shambani.
 
Haya mambo yabaki kama yalivyo nothing with less effect, kama hunywi energy unabugia Beer,, pombe, sigara, bangi , processed foods, mazao yatokanayo na kilimo cha umwagiliaji, cosmetics, carbonated soft drinks, cooking oils n.k, all of them have some trace of both organic & inorganic chemicals ambazo zina madhara mwilini pia kama energy drinks.

Matumizi mazuri ni kutovuka matumizi ya kawaida yaliyoandikwa na kushauriwa kwenye kinywaji husika.

TBS&TMDA hawawezi kuzuia Energy drinks kwa sababu zimekizi vigezo vyote vya QMS, wewe mtumiaji ndiye unataka usivuke matumizi ya kawaida yaliyoshauriwa na watengenezaji wa kinywaji husika.
 
Mimi nakupinga inatumiwa kigezo gani kusema vifo vya ghafla vya vijana ni Energy, uliwahi kumshuhudia mtu au kijana amekufa kwa kutumia energy

Vipi unaongeleaje athari za matumizi ya sigara, carbonated drinks, na Pombe, madhara yake unaweza kulinganisha na hizi energy?

Haya mambo ya tafiti kama hizi waga yamekaa kiushindani katika biashara zaidi kutokana na ushindani wa soko, kwahiyo tafiti nyingine ni kwa ajili yakuharibu soko la watu tu hakuna kingine.

Any processed stuffs, iwe chakula au kinywaji lazima kiwe na madhara. Wanapotengeneza wanatoa na maelekezo kabisa jinsi ya kutumia hicho kinywaji kwahiyo kama mtu anatumia bila kufuata maelekezo madhara lazima yampate.
 
Kwa kweli acha wajionee wenyewe. Nimejitahidi kuelimisha wanaonizunguka ila hata hawaelewi. Yani wabishi kama nini. Ikiwafika labda serikali itaona itachukua hatua.
 
Ile ya MO haina hata ingredients jamani dah
 
Nilishaswma humu na Leo narudia..nilikunywa energy..asubuhi nikawa sijisikii vizur..na nilikunywa jion sa kumi..ikabid niende AICC hosp Arusha..ile kupima nakutwa presha iko 197/127...wakarudia.. vile vile..Dr akaniuliza nikaeleza maana sikuwah kupima presha.akaniamnia unatumia energy drink nikasema ndio na Jana nimekunywa..akasema baas ndo hiyo imesabanisha..wakanilaza...hawakuruhus nitoke...tangu siku hiyo nimeacha kunywa vinywajo vyote vyenye Cafein ndani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…