Matumizi ya energy ni bomu kwa Vijana Afrika

Asante sana Mkuu Mshana. Ubarikiwe kwa jitihada zako hizi za kuielimisha Jamii. Shida ninayoiona hapa ni Je, Vijana e.g waliomo humu Jf. wataisoma Habari hii njema? au watakimbilia kusoma nyuzi za kula tunda....n.k... 😟??
 
Asante sana Mkuu Mshana. Ubarikiwe kwa jitihada zako hizi za kuielimisha Jamii. Shida ninayoiona hapa ni Je, Vijana e.g waliomo humu Jf. wataisoma Habari hii njema? au watakimbilia kusoma nyuzi za kula tunda....n.k... [emoji45]??
Asante mkuu Kirumberumbe uzuri wa maandishi ni kuwa hayafutiki mtu asiposoma leo basi kuna siku atasoma tuu.. Anaweza akapotezea mara moja au mbili lakini ya tatu atasoma na kutafakari.. Na kamwe hakuna neno jema linaloenda bure
 
Inakwenda kufanya artery na mishipa ya moyo kugagamaa na kukosa flexibility, mbonyeo wenye KUWEZA Ku pump damu, mwishowe una BURSTS
#mwenye_uelewa_na_aelewe.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mshana wanasema hizi za mo extra haziko kwenye category ya energy drink. Hebu tuekee content zake hapa tuone caffeine ipo kwa kiasi gani.
Ati ni carbonated soft drink.
 
Mshana wanasema hizi za mo extra haziko kwenye category ya energy drink. Hebu tuekee content zake hapa tuone caffeine ipo kwa kiasi gani.
Ati ni carbonated soft drink.
Mmh nipe muda nisijibu kwa kubahatisha
 
Mi nilikuwa nakunywa kila siku asubuhi nilikonda mpaka kuna mtu aliniona nazinywa akaniambia zitaniua harafu nilikuwa siwezi kuzuia mkojo kwa muda mrefu energy sio kabisa
 
Mi nilikuwa nakunywa kila siku asubuhi nilikonda mpaka kuna mtu aliniona nazinywa akaniambia zitaniua harafu nilikuwa siwezi kuzuia mkojo kwa muda mrefu energy sio kabisa
Pole sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mi nilikuwa nakunywa kila siku asubuhi nilikonda mpaka kuna mtu aliniona nazinywa akaniambia zitaniua harafu nilikuwa siwezi kuzuia mkojo kwa muda mrefu energy sio kabisa
Aisee la kuzuia mkojo Kwa mda mrefu namimi limekuwa likinitokea, lakini saizi naona limepungua baada ya kuacha kutumia energy, lakini sikujua kama zinasababisha tatizo hilo!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mshana wanasema hizi za mo extra haziko kwenye category ya energy drink. Hebu tuekee content zake hapa tuone caffeine ipo kwa kiasi gani.
Ati ni carbonated soft drink.
Yah, ile ni Mo Extra sio energy. Pia haijaandikwa kuwa usinywe zaidi ya mbili kwa siku kama ilivyo kwa Azam energy. Na binafsi nikitumia usingizi napata tofauti na energy drinks nyingine. Ila still sio nzuri kwa afya haifai kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…