Ngoja nikajiunge FB....kumbe kuna vya bwereree.... madem wa JF wagumu sana...afu unaweza fikiri unatongoza demu kumbe dume....Avatar zinatuponza100% ni kweli
Unapotembelea mitandao ya kijamii sio FB to ipo mingi sana unatakiwa uwe makini na details zako pia na watu unao-deal nao. Kuna maafa makubwa sana kwa jamii ya leo. Take care.
Ngoja nikajiunge FB....kumbe kuna vya bwereree.... madem wa JF wagumu sana...afu unaweza fikiri unatongoza demu kumbe dume....Avatar zinatuponza
hapo umenena,mume wangu kajiunga na fb kwa kujificha sijui anamaanisha nini,au ndo anatumia kutongozea ivo?wana jf mnaonaje nianze mimi kujipendekeza kwake nikitumia jina jingine kwene FB hahaaaaaaaaaaaaa then nione kama atanitongoza
Hapo unaulizia nywele saluni au meno mdomoni?Babu kwani bado unachomekea ndogondogo?