Matumizi ya Falcon na Pigeon katika kupiga picha maeneo nyeti

Matumizi ya Falcon na Pigeon katika kupiga picha maeneo nyeti

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Ndege waliotajwa hapo juu Falcon (kipanga) Pigeons (njiwa) huweza kutumika kupiga picha za siri katika maeneo nyeti ya siri au hata maeneo ya kijeshi yasiyoruhusiwa raia.

Ndege hawa wanapopita kwenye maeneo nyeti ni hatari sana kwasababu sio rahisi kuona gadgets zilizovikwa (attached) kwa viumbe hawa.

Viumbe hawa wakivishwa devices kama kamera za diri wanaweza kuchukua picha mnato na za video katika ubora wa hali ya juu.

Changamoto zake ni kwamba huwezi kuwagundua haraka kama Falcon ambae huruka umbali mrefu na akizunguka eneo moja kwa muda mrefu.

Njia nyingine za kisasa ni drones ila pia zamani tiara zilitumika (kites).

Juu ya yote Google Maps na Google Street view ni baba lao.
 
Back
Top Bottom