Matumizi ya "h" yamekithiri

Matumizi ya "h" yamekithiri

hili lishakuwa janga la kitahifa sasa.akuna aja ya kulihundia tume ya kufanya huchunguzi kwa keri
 
Tafadharini muhache kualibu rhugha ya taifa. Kwa kweri munakera na munahudhi sana!
 
Back
Top Bottom