Matumizi ya HDD

Matumizi ya HDD

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Habari naweza tumia internal HDD ya laptop kwenye desktop kama extenal HDD?

Nina dell optilex 7020 core i7 je naweza kuongeza internal HDD 2TB na isilete shida maana nimesikia hdd kubwa zinaua cpu
 
Si kweli hdd haiui cpu, na cpu ni kitu kimoja kigumu sana kufa, itakufa motherboard na hio hdd ila Cpu itabaki.

Na unaweza tumia internal hdd ya laptop kwenye desktop,

Kama unatumia kama external inunulie kasha ama waya wa usb to sata.
 
2.5" kwenye desktop ukiifunga mazima haina kwikwi?
 
Desktop za kisasa zina Bay za 2.5, desktop za zamani unatafuta tu caddy za 3.5 kwenda 2.5, nyengine bila hata Caddy zile screw tu zinabana hdd inakaa inatulia.

Connector ni zile zile ya desktop ama laptop sata zinafanana.
 
Mi nilidhani 2.5 zinaungua na kufa mapema kwenye desktop
 
Si kweli hdd haiui cpu, na cpu ni kitu kimoja kigumu sana kufa, itakufa motherboard na hio hdd ila Cpu itabaki.

Na unaweza tumia internal hdd ya laptop kwenye desktop,

Kama unatumia kama external inunulie kasha ama waya wa usb to sata.
Shukrani mkuu
 
Mkuu nafanya kazi kwenye kampuni ambayo staff tunatumia wigi bure je ni website au app gani naweza download single movies na series movies zenye 720p au 1080p
 
Mi nilidhani 2.5 zinaungua na kufa mapema kwenye desktop
Hapana mkuu, mimi desktop langu halina 3.5 hata moja, mpaka ssd yangu ni ya laptop. Na zina miaka nyengine inafika karibia miaka 7 sasa.
 
Mkuu nafanya kazi kwenye kampuni ambayo staff tunatumia wigi bure je ni website au app gani naweza download single movies na series movies zenye 720p au 1080p
App hii kubrowse

Then download adm ama torrent downloader yoyote playstore kudownloadia
 
Back
Top Bottom