Kuna dereva Bolt nikipiga nae stori nikamuuliza:-
Mimi: Vipi kazi inalipa?.
Jamaa: Sana tu sio kama zamani tokea niweke mfumo wa gesi, imekuwa rahisi kuliko mafuta.
Naona gesi uta save sana, huyu alikuwa dereva wa Bolt pekee aliwasha a/c tokea napanda mpaka nafika safari yangu.
Alinambia amelipa 2m kuweka mfumo wa gesi.