Matumizi ya hii gari kwa mafuta hapa Dar. Kwa uzoefu

Matumizi ya hii gari kwa mafuta hapa Dar. Kwa uzoefu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Gari ni Toyota Wish 2010 (wanaiita new Model) kwa mkazi wa Bunju ofisi Posta. Inaweza ikawa na wastani wa Kms ngapi kwa lita moja?

Kwa mwenye uzoefu please. Hapo fikiria umewasha AC muda wote maana ndo kazi yake. Hakuna kuzima wakati wa foleni.
 
cc1800 mjini kwa foleni za iyo njia 10-12km/L ikiwa katika best conditions.

Posta to Chanika ni 36 km, so kwenda na kurudi approximately 72 km.

Kwa average ya 11 km/L utahitaji lita 6.5 kaa siku ambazo ni sawa na elfu 18 kwa siku kwa bei za sasa.

Kama bado haujanunua hii sio economic car kwa mazingira yako.

Kwa shape ya Wish ukimreplace na Prius haujakosea.

Prius ataweza kwenda hadi 30 km/L au zaidi.

Atakusaidia kukata iyo bei zaidi ya mara 3.

Mafuta ya elfu 6 unaenda na kurudi.

Hail Hybrid.
 
Kuna dereva Bolt nikipiga nae stori nikamuuliza:-
Mimi: Vipi kazi inalipa?.
Jamaa: Sana tu sio kama zamani tokea niweke mfumo wa gesi, imekuwa rahisi kuliko mafuta.

Naona gesi uta save sana, huyu alikuwa dereva wa Bolt pekee aliwasha a/c tokea napanda mpaka nafika safari yangu.

Alinambia amelipa 2m kuweka mfumo wa gesi.
 
wewe bado kumiliki gari jipange kwanza mkuu utanishukuru bdae
 
Back
Top Bottom