Matumizi ya Intaneti: Changamoto za gharama na ubora wa huduma zisifumbiwe macho

Matumizi ya Intaneti: Changamoto za gharama na ubora wa huduma zisifumbiwe macho

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Ili Jamii inufaike kikamilifu na Intaneti, changamoto kama Ubora wa Huduma na Gharama hazipaswi kufumbiwa macho

Maisha ya Wananchi wengi yamebadilika kwa kiasi kikubwa kutokana na Upatikanaji wa Intaneti. Uwepo wake unawezesha kufurahia Haki nyingine za Msingi za Binadamu

Ili kuziba Pengo la Kidigitali, ni muhimu kuhakikisha (2).jpg
 
Back
Top Bottom