Matumizi ya Intaneti: Changamoto za gharama na ubora wa huduma zisifumbiwe macho
Ili Jamii inufaike kikamilifu na Intaneti, changamoto kama Ubora wa Huduma na Gharama hazipaswi kufumbiwa macho
Maisha ya Wananchi wengi yamebadilika kwa kiasi kikubwa kutokana na Upatikanaji wa Intaneti. Uwepo wake unawezesha kufurahia Haki nyingine za Msingi za Binadamu