Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

Madhara endapo mtuhumiwa ataoverdoze kuziba kwa uke.
 
Na kinachotafutwa raha yake ni sekunde tu imeisha.

Mtasumbuka sana na hayo maumbile mnataka kushindana na mlipotoka.
Mtaiunga mpaka kwa giligilani mwisho mtasema ni mboga inafaa kwa ugali.

Mnajisumbua tu
 
Wamepewa puree wacha wakitumie!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu utupisheee!!! Wengine hatujalegea [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Wamepewa puree wacha wakitumie!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu utupisheee!!! Wengine hatujalegea [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Nenda kwenye kioo kaangalie vizuri,kabla ya kufanya hivyo hakikisha umenawa usoni kwa maji mengi.

Naamini utagundua mengi tena ya kutisha sana kwenye hiyo sambusa yako.
 
Bila shaka wamekusikia/kusoma na kuelewa
Wasisahau kuleta matokeo
 
Kama sijaielewa hii science yako hivi[emoji32], unamaanisha kwamba normal flora walikufa na hawakurudi tena???

Skuhizi kweli kila mtu Doctor.
 
Kama sijaielewa hii science yako hivi[emoji32], unamaanisha kwamba normal flora walikufa na hawakurudi tena???

Skuhizi kweli kila mtu Doctor.
Huitaji kusomea udaktari kujua haya mkuu! Madaktari washafanya kazi yao wametuachia na sisi tusome.

Uke una bacteria wazuri!!! Wanalinda ili kusipate infections... Hutakiwi ata kuingiza sabuni huko ndani.... Maji safi yanatosha kusafisha.
Mavitu wanayoweka wadada sikuizi yanaua hao bacteria na kuacha uke bila ulinzi.
 
Najua na hayo mkuu na hao Bacteria ndo wanaitwa normal flora ila huwezi niambia wakifa hawarudi, normal flora they always comeback naturally no matter what, unless mtu awe amekufa.

Ila vitu wanavyoweka naungana na wewe kwamba sio safe.
 
Hii ni kweli kabisaa for sure
 
Najua na hayo mkuu na hao Bacteria ndo wanaitwa normal flora ila huwezi niambia wakifa hawarudi, normal flora they always comeback naturally no matter what, unless mtu awe amekufa.

Ila vitu wanavyoweka naungana na wewe kwamba sio safe.
Ooh! Ila kwenye kesi ya huyo mdada madaktari walimwambia hali imekua tete yaani hawarudi kabisa, option ilikua atolewe kizazi
 
Reactions: 247
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…