Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabisa Ila kwa upande wangu siwezi fanya ujinga huo hata siku moja aiseeKweli ila wengine ni akili za kushikiwa na mashosti ili nao waonekane wajanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Ila kwa upande wangu siwezi fanya ujinga huo hata siku moja aiseeKweli ila wengine ni akili za kushikiwa na mashosti ili nao waonekane wajanja
Sasa mm tajueje kua uchi umelegea? Ebu tuweken wazi tujue jinsi ya kujitambua .Afadhal baña umeleta solution, maani hizi nyuchi za namna hii huwa zinatia uvivu kabisa yaani
Mmmh kuna watu wa ajabu bana.
Mtakaotumia hio njia msisahau kuleta mrejesho wa kuoza naniliii. Maana mnaenda fanya mauaji ya bakteria wa ulinzi
Njoo nyumbani nikujuze[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa mm tajueje kua uchi umelegea? Ebu tuweken wazi tujue jinsi ya kujitambua .
Si unajifanya umesoma sehemu!!! Tena kagoogle kabisa! Afu unamwambia baby ebu tujaribu hii!whaooo, balaa limeingia mjini...nitaanzia wapi kumwambia ajikegeli?
Usisubiri mpaka ulegee fanya tu ndugu!Sasa mm tajueje kua uchi umelegea? Ebu tuweken wazi tujue jinsi ya kujitambua .
Sina uhakika kama ni kamilivp unaona kuna walakini au..!!!!
Mkuu nimekusoma ushauri nzuri sana... ila hapo mazoezi ya kegel hem fafanua kwa kina wengine ndio mara ya kwanza kusikia hilo nenoKuna stori ya mdada inasambaa... Alikua anaipika papuchi kuridhisha mwanaume mwisho wa siku akawaua bacteria walindao uke na kupata infection isiopona kwa dawa yoyote ile. Na huwezi warudisha tena wale bacteria. Saivi yuko na maumivu makali na hatarini kupata kansa.
Wadada wenzangu!!! Msiweke chochote huko eti kubana papuchi, utajisababishia uozo na matatizo mengine na mwanaume ulietaka kumridhisha atakukimbia! Uke ubane, usibane, haiwazuii kuchepuka.
Kama imelegea sana fanya mazoezi ya kegel... Yanabana papuchi unakua mnato haswaa!
Mazoezi ya kubana papuchi!!!Mkuu nimekusoma ushauri nzuri sana... ila hapo mazoezi ya kegel hem fafanua kwa kina wengine ndio mara ya kwanza kusikia hilo neno
Sasa mm tajueje kua uchi umelegea? Ebu tuweken wazi tujue jinsi ya kujitambua .
jaribu tu halaf uje kunionyesha..!!!!Sina uhakika kama ni kamili
KeMazoezi ya kubana papuchi!!!
Wewe ke au me???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah,
Unapiga romance demu mdomoni unakumbana na harufu ya kojo,
Unashuka chumvini unakumbana na papuchi iliyowekwa maembe.... Not fair