Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

Afadhal baña umeleta solution, maani hizi nyuchi za namna hii huwa zinatia uvivu kabisa yaani
Sasa mm tajueje kua uchi umelegea? Ebu tuweken wazi tujue jinsi ya kujitambua .
Mmmh kuna watu wa ajabu bana.

Mtakaotumia hio njia msisahau kuleta mrejesho wa kuoza naniliii. Maana mnaenda fanya mauaji ya bakteria wa ulinzi
 
Pia kuna vagina tightening balls mtu unaweza agiza aliexpress.com. Unachomeka kwa vajay unakabania huko ndani kwa kutumia misuli ya ndani wakati unaendeleza mishe zako za siku nzima. Ni best solution
 
Sasa mm tajueje kua uchi umelegea? Ebu tuweken wazi tujue jinsi ya kujitambua .
Njoo nyumbani nikujuze[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kibamia+mlegeo
Patachimbika hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mdada aliyebobea kwenye mazoezi ya kegel anitafute mara moja
 
Sasa mm tajueje kua uchi umelegea? Ebu tuweken wazi tujue jinsi ya kujitambua .
Usisubiri mpaka ulegee fanya tu ndugu!

Pia Kama umeshawai zaa kwa njia ya kawaida jua tu kuna kaulegevu fulani!
 
Kuna stori ya mdada inasambaa... Alikua anaipika papuchi kuridhisha mwanaume mwisho wa siku akawaua bacteria walindao uke na kupata infection isiopona kwa dawa yoyote ile. Na huwezi warudisha tena wale bacteria. Saivi yuko na maumivu makali na hatarini kupata kansa.

Wadada wenzangu!!! Msiweke chochote huko eti kubana papuchi, utajisababishia uozo na matatizo mengine na mwanaume ulietaka kumridhisha atakukimbia! Uke ubane, usibane, haiwazuii kuchepuka.

Kama imelegea sana fanya mazoezi ya kegel... Yanabana papuchi unakua mnato haswaa!
Mkuu nimekusoma ushauri nzuri sana... ila hapo mazoezi ya kegel hem fafanua kwa kina wengine ndio mara ya kwanza kusikia hilo neno
 
Mkuu nimekusoma ushauri nzuri sana... ila hapo mazoezi ya kegel hem fafanua kwa kina wengine ndio mara ya kwanza kusikia hilo neno
Mazoezi ya kubana papuchi!!!
Wewe ke au me???
 
Kama imelegea sana unaachana na vibamia Tu! Unahamia sayari nyingine mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom