Matumizi ya kondomu na maudhi yake

Matumizi ya kondomu na maudhi yake

Sasa ukitumia ndomu si kama unapiga nyeto tu hakuna utofauti,
 
Mkuu ungekua Mbeya unge enjoy sana.....
Screenshot_20210507-163448~2.jpg
 
Watu wawe wanapimana HIV kila wiki. Yaani kila Jumapili mnapima ngoma.

1)Kabla hamjaona au kuwa pamoja mnapima

2)Mkishakuwa pamoja ni kila wiki mnapima. Ili mtembelee rimu kwa uhuru. Mtu akiuza mechi huko nje ni kivyake.

3)Hii habari ya kupima kabla ya kuwa pamoja halafu ndio basi eti labda mtu akipata ujauzito imepelekea maambukizi mengi kwa wanandoa.

4) maambukizi mengi hufahamika Mara nyingi mke/mpenzi akienda clinic kwa akipata ujauzito ndio inafahamika kuwa ni positive. TOO LATE.
Kupima Pima ovyo ilo nalo Ni tatizo.

IPO sikU utakuatana na kifaa kibovu, au mpimaji kakosea steps za kupima au kasubstitute majibu.

kichwa chote kitawaka Moto.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom