Matumizi ya L kwenye R

Matumizi ya L kwenye R

Truth comes with pain.

Siyo matamshi pekee. Kuanzia muonekano (kuvaa, kunyoa mpaka kutembea). In-short gestures zote ni muhimu kuzingatia.

Maneno sanifu ya kiswahili kama, kuhodhi, aghalabu, usuli, mawanda mapana, mantiki, zanambiu, ubazazi, kudurusu, kasri na orodha inaendelea... hayana nafasi kabisa kwa waandishi uchwara wanaoiharibu tasnia hii kila uchwao.

Huwa siangalii, sisikilizi na kusoma Swahili new's kutokana na hayo mapungufu.

Kwa mwandishi wa habari yeyote mwenye aidha Cheti/shahada Ni un-ethical kusoma, kuandika Kwa kutozingatia 5W and 1H.
Safi sana...
Kusingizia kabila sijuwi nini hakuna kabisa...
 
Kuna member mmoja humu mwenye wadhfa wake, anapenda kusema ghalama badala ya gharama
 
Back
Top Bottom