Matumizi ya madawa/vitanzi vya kupanga uzazi ni hatari

Matumizi ya madawa/vitanzi vya kupanga uzazi ni hatari

Sijaomba ushauri hapa,mueleweshe mtoa post
Sasa huko sio kupanga Uzazi ni kuzuia Mimba kitaalamu inaitwa Contraception, kupanga uzazi wanaita Family planning!nimeeleka? Ila unaweza kutumia dawa za KUZUIA mimba kupanga uzazi !
 
Kuna possibility hao watoto sio wako.
Mwambie mkeo afanye kama alivofanya mwanzoo
 
Roho yangu inasita sana kutumia hizo njia lakini pia namuonea sana huruma mwanangu kumletea mdogoake kabla hata hajafikisha miaka miwili lkn pia....
 
Hicho ni kipandikizi ,Kitanzi kinawekwa kwenye miji wa mimba au Uterus mara baada ya kujifungua(postpartum IUCD)mpk masaa 48 ,mara baada ya Hedhi au mama akihakikisha hana mimba(Interval IUCD)
Asante kwa maelezo. Hiki kipandikizi kinaitwaje kwa kingereza? Kina side effect kama hizi njia nyingine?
 
Asante kwa maelezo. Hiki kipandikizi kinaitwaje kwa kingereza? Kina side effect kama hizi njia nyingine?
Intrauterine Copper Device. Angalia page ya nyma kuna mtu katoa jedwali
 
Yy
Wewe upo kama mimi, nimeweka mwaka jana mwezi wa tano... ila kwa sasa nataka kukitoa
Yaani mimi nakivumilia tu maana ndo njiani iliyokua recommended kwangu (IUCD) kwa sababu haina hormone. Calendar ilinishinda mwenzangu. Maana inawafaa watu wenye mzunguko unaoeleweka. Halafu haina usalama asilimia 100. Maana mwili huwa unabadilika sana.
 
If u can't practice THE WITHDRAW then ATLEAST USE CONDOM.

Achana na madawa kabsa kwanza unaharibu afya ya mke wako na sk moja utaulizwa na aliekuumba kwa nn uliharibu afya ya mke wako
 
Back
Top Bottom