Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahahahahahaaaaa una akili sana kuliko Shule.Ttz mchezo na condom ama withdrawal haunogi
Sasa huko sio kupanga Uzazi ni kuzuia Mimba kitaalamu inaitwa Contraception, kupanga uzazi wanaita Family planning!nimeeleka? Ila unaweza kutumia dawa za KUZUIA mimba kupanga uzazi !
Nipe utafiti ulofanyika kuthibitisha kunywa maji mengi hupunguza nguvu ya dawaUna lingine au umemaliza
Asante kwa maelezo. Hiki kipandikizi kinaitwaje kwa kingereza? Kina side effect kama hizi njia nyingine?Hicho ni kipandikizi ,Kitanzi kinawekwa kwenye miji wa mimba au Uterus mara baada ya kujifungua(postpartum IUCD)mpk masaa 48 ,mara baada ya Hedhi au mama akihakikisha hana mimba(Interval IUCD)
Intrauterine Copper Device. Angalia page ya nyma kuna mtu katoa jedwaliAsante kwa maelezo. Hiki kipandikizi kinaitwaje kwa kingereza? Kina side effect kama hizi njia nyingine?
Yaani mimi nakivumilia tu maana ndo njiani iliyokua recommended kwangu (IUCD) kwa sababu haina hormone. Calendar ilinishinda mwenzangu. Maana inawafaa watu wenye mzunguko unaoeleweka. Halafu haina usalama asilimia 100. Maana mwili huwa unabadilika sana.Wewe upo kama mimi, nimeweka mwaka jana mwezi wa tano... ila kwa sasa nataka kukitoa