Tool box hiyo [emoji1] [emoji1]Huo mfuko unaoning'inia chini umebebe nini? Au ndio toolbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tool box hiyo [emoji1] [emoji1]Huo mfuko unaoning'inia chini umebebe nini? Au ndio toolbox
Shukran sana mkuu kwa maelezo murua.View attachment 837031
Toyota Ipsum au Gari yoyote unapoongeza Rims inaongeza effects kidogo katika mambo mengi kama Muonekano na Ulaji wa Mafuta japo si sana. Japokuwa Watengenezaji wa magari haya wamekuwekea kabisa Options Mbili za Rims na huwa zinaandikwa kwenye kibandiko Mfano kwa Toyota Ipsum Kwenye mlango wa Dereva Pale Kwenye Body wamekuandikia kabsa saizi za rims na tairi ambazo zinapaswa kufungwa kwenye gari hio. Toyota ipsum nyingi kama sio zote huwa zinakuja na Saizi hizi kwenye Tairi 205/55/R16 lakini Pale kwenye kibao pia wameweka option ya size nyingine ya rim sasa Ushauri ni Kwamba Kama Gari imekuja na RIMS saizi zifuatazo fuata haya hapa chini
Kama imekuja na 205/55/R16 na unataka kuweka rims saizi 17 basi unapaswa kuwa hivi 205/50/R17 na kama unataka kuweka saizi 15 basi itakuwa hivi 205/60/R15 nadhani hapa unakuwa umeenda sawa kabisa na vipimo vyao.
Kuhusu Ulaji wa mafuta Ipsum ina tumia mafuta vizuri sana lakini endapo inafanyiwa service kwa wakati, Matairi yana upepo unaostahili maana wengine tairi limeandikwa 50 psi utasikia anakwambia weka 40 mbele na nyuma weka 35 bila kufuata Ujazo unaopaswa kwenye Matairi. Inaenda 1L mpaka Km 7- 10 kwa Mjini humu lakini inafika 1 L mpaka Km 11 hadi 12 Kwa Safari Ndefu endapo tu utazingatia uendeshaji sahihi.
Uzuri wa Ipsum ni kwamba ndani ina nafasi kubwa na watu wanaweza kukaa kwa kujiachia ukizingatia Ina siti za kubeba watu saba Ina comfotability nzuri sana Kikubwa ni Matunzo katika Kila Kitu ukikitunza na chenyewe kitakutunza
Kama unavyofahamu kuwa Ipsum kuanzia mwaka 2001 na kuendelea inakuja na Injini ya 2AZ-FE ni VVTI engine, injini hii ni Injini moja nzuri sana japokuwa watoto wa mjini wanaziita Mayai Kikubwa unapaswa kuwa muangalifu sana pale unapohisi Kuna Tatizo kwa Sababu injini hizi unapochelewa kutatua tatizo basi unakuwa umekaribisha matatizo mengine na Pia Penda sana Kuchunguza Maji au Coolant kwenye Rejeta na uwe una notisi maana Moja ya Tatizo la Ipsum nyingi nilizowahi kukutana nazo ni maji kupungua kitu ambacho muda mwingine kinakuwa kimesababishwa na WATER PUMP kuchoka na matokeo yake kupelekea Cylinder Head kubend sasa hapa ndio huleta shida ya maji kuanza kupungua.
Kingine Usiogopeshwe na MANENO ya Watu kuwa IPSUM Inakula sana Mafuta kitu ambacho kinaweza kuwa huyo aliyekuambia hivyo hajawahi kuimiliki au kuiendesha na kama kaimiliki na kuiendesha basi ameendesha yenye matatizo au haikufanyiwa service inavyopaswa au Amehadithiwa au kusikia Maneno kwa Watu.
Kingine Reserve ya Mafuta kwa Ipsum by default kutoka kwa Manufacture ni Lita 10 sasa fahamu kuwa pale kitaa kinapokuwakia tu Fahamu mafuta yaliyobaki kwenye tank lako ni Lita 10 japokuwa nasikia kile kiboya cha mafuta kinaweza kupandishwa au kushushwa (sina Uhakika katika hili) sasa unapoendesha gari wakati kitaa kimeshawaka maana yake umeanza kutumia mafuta yaliyopo kwenye reserve sasa basi unapoenda Kituo cha Mafuta kuweka Mafuta na ukaweka lita tano Na kama kwenye reserve ushatumia lita Tano maana yake zile tano utakazoweka zitarudi kwenye reserve na ukiendesha kidogo tena utaona kitaa kinawaka Hapa sasa ndio unasikia watu wanasema GARI HILI LINAKULA SANA MAFUTA nimetoka kuweka lita tano tu sahivi hata Km 10 sijafika kitaa kishawaka kumbe ulitumia mafuta yaliyopo reserved na sasa umerudishia na umeyatumia tena.
Spea zake zipo Nyingi na upatikanaje wake sio wa kusumbua. Nadhani wengine watakuja Kuongezea pale palipopungua
Japokuwa Gari hizi zina majina tofauti kutokana na Soko lake Mfano unaweza kukuta gari Hio imeandikwa PICNIC hii ni gari hio hio ipsum sema ni kwaajili ya Soko la Singapore huko lakini pia kwa SOKO la AMERICA zinaitwa Avensis Verso ambapo zipo zinazotumia DIESEL
SPINE @Adharusi
Hii point ya "reserve fuel by default from manufacturer" nadhani ndio wabongo wengi hatuielewi vizuri.View attachment 837031

Hili lina ukweli mpanaKwa Uelewa Wangu Mdogo ni kwamba unaposikia gari fulani au Toyota IPSUM Full Tank yake ni Lita 60 Mpaka 61 maana yake ni kwamba kwenye hizo lita 60 au 61 Reserve yake ni Lita 10. Kwahio kama utakuwa umejaza full tank then ukatumia na baada ya muda tu kitaa cha Fuel Alert kikawaka maana yake ni kwamba Umebakiwa na Lita 10 za Mafuta kwenye Tank lako. Sasa basi hapa ukiendelea kutumia maana yake lita kumi zitakuwa zimepungua let say umetumia lita sita maana yake zitakuwa zimebaki lita nne so unapoenda kujaza mafuta ukaweka lita tano maana yake utakuwa na lita tisa ambapo hata lita kumi hazijafika kwahio unapoweka tu kitaa kidogo kitazimika baada ya muda mfupi kitawaka tena so hapa ndio unasikia watu wanalalamika sana kuwa gari linakunywa sana mafuta kumbe sio ni mafuta machache kwenye gari lako kiufupi tunaoweka mafuta ya Elfu Kumi ndio huwa tunalalamika Gari linakunywa Mafuta sana
SPINE
Nina uzoefu wa hii yenye cc2 elfu na mia zake ambazo ni VVTi injini zinaenda wastani wa km10 kwa Lita 1. Ni gari nzuri kuanzia kwenye bodi, nafasi ya gari, idadi ya siti, spea zinapatikana sana. Ila kumbuka kwa wakati huu mtu asikuogopeshe kwa ukubwa wa injini za magari kwani teknolojia imekuwa mno. Mfano mdogo tu ukichukua gari yenye cc 1900 kavu inatumia mafuta kiwango mengi kuliko hata gari yenye cc 2390 yenye vvti