Matumizi ya mafuta safari kutoka Dar es Salaam - Arusha

dar to mwanza?? ulitumia lt ngapi
yeah man. Runx VVTi NZ-FE 1.5L.

Niliweka Kimara ya 50,000 nikaja kuweka tena Total Dodoma ya 50,000 nikaja nikaweka Mwanza nakaribia ya 20,000 ambayo nilipiga nayo misele hadi kesho.

Ila kurudi nilitumia kidogo gharama 180 kwasababu ya stops nyingi na nilikua nishavuka kama 1000km za service.
 
Kigezo ingekuwa umetumia lita ngapi na sii shs ngapi. Bei hubadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…