Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
acha uchokozi ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unagari gani mkuu unayomiliki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha uchokozi ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unagari gani mkuu unayomiliki?
Kwa diesel engines?Kwa gari ya 1800cc yenye engine nzuri mie nilipiga dar to mbeya kwa 130,000 about 800KMs+! Full tank moja 90K kisha nikaijazia 40K nikiwa karibu kufika ila nilifanya hivyo sababu nilikuwa naingia ndani zaidi sikuishia Mbeya mjini, ila kwa full tank moja tu ningefika mjini! Plug zilikuwa mpya.
Kwa mtu anaetumia 150K kwa kilometre 600 namshangaa sana! Aidha plug mbovu au Engine za subaru sio economical maana kuna jamaangu ana runx X aliachiwa Subaru impreza na best yake ila katika kuitumia akagundua haina economy kama ya runX
Mie kwa Plugs mpya safari ya Moshi Dar kipindi kile mafuta ni 1800 nilitumia mafuta ya 50,000 tu kufika dsm!
Ushauri tu badili plugs kabla hujaanza safari ndefu kuepusha gharama za wese! Pia Top cover gasket kama inavujia kwenye combustion chamber inaua plug! So kagu nayo uizibe kama imeanza ku leak!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuanzie hapo kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha uchokozi ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa subaru hapo naona ni kawaida..Ingekuwa IST, Spacio au hii Nissan yangu...tungeweka mkazo hapo kwenye plugsmrejesho wa trip yangu ya arusha - dar kwenda nimetumia 60lt.. nilitembea mpaka korogwe kwa 26lt tu.. lakini wakati narudi chuga nimetumia 60 lt pia .. town trips za dar nimetembea 110km kwa 12 lt tu... so total nimetumia kama lita 132 imekaaaje hii wadau au ndio nikaguae plug???
pana kama km 630
Dar mbeya nilipiga 90,000 kipindi hiko hiko mafuta yameshuka 1.5 1NZ chuma nilikuwa nampelekea mtu baada ya kuitoa bandariniKwa gari ya 1800cc yenye engine nzuri mie nilipiga dar to mbeya kwa 130,000 about 800KMs+! Full tank moja 90K kisha nikaijazia 40K nikiwa karibu kufika ila nilifanya hivyo sababu nilikuwa naingia ndani zaidi sikuishia Mbeya mjini, ila kwa full tank moja tu ningefika mjini! Plug zilikuwa mpya.
Kwa mtu anaetumia 150K kwa kilometre 600 namshangaa sana! Aidha plug mbovu au Engine za subaru sio economical maana kuna jamaangu ana runx X aliachiwa Subaru impreza na best yake ila katika kuitumia akagundua haina economy kama ya runX
Mie kwa Plugs mpya safari ya Moshi Dar kipindi kile mafuta ni 1800 nilitumia mafuta ya 50,000 tu kufika dsm!
Ushauri tu badili plugs kabla hujaanza safari ndefu kuepusha gharama za wese! Pia Top cover gasket kama inavujia kwenye combustion chamber inaua plug! So kagu nayo uizibe kama imeanza ku leak!
mrejesho wa trip yangu ya arusha - dar kwenda nimetumia 60lt.. nilitembea mpaka korogwe kwa 26lt tu.. lakini wakati narudi chuga nimetumia 60 lt pia .. town trips za dar nimetembea 110km kwa 12 lt tu... so total nimetumia kama lita 132 imekaaaje hii wadau au ndio nikaguae plug???
Naenda mara kwa mara Dar -Rombo subaru forester 1990~2000cc natumia mafuta ya 110000~120000 kwenda tuu; kurudi 100000~110000 ( mafuta yakiwa sh 1989/ ltr). Sema nimegundua undeshaji wetu ndio tatizo ukiamsha juu ya speed 130 ndio inapiga sana. Kuna siku nilifika korogwe na mafuta ya 23000 na ni kama nusu ya safari niliponza kuipasua ile capet ya same [emoji23] shida tayari. Ila naamini siku nikiamua kwenda mwisho speed 120 asee hata mafuta ya laki 1 hayafiki.
Hio haipingwi kabisa mwenyewe sikuamini kama gari ingetoboa mbeya na zutu la 130KDar mbeya nilipiga 90,000 kipindi hiko hiko mafuta yameshuka 1.5 1NZ chuma nilikuwa nampelekea mtu baada ya kuitoa bandarini
Hahahah ile carpet inashawishi kinoma!Naenda mara kwa mara Dar -Rombo subaru forester 1990~2000cc natumia mafuta ya 110000~120000 kwenda tuu; kurudi 100000~110000 ( mafuta yakiwa sh 1989/ ltr). Sema nimegundua undeshaji wetu ndio tatizo ukiamsha juu ya speed 130 ndio inapiga sana. Kuna siku nilifika korogwe na mafuta ya 23000 na ni kama nusu ya safari niliponza kuipasua ile capet ya same [emoji23] shida tayari. Ila naamini siku nikiamua kwenda mwisho speed 120 asee hata mafuta ya laki 1 hayafiki.
Hahahah ukikaza mguu past 2 RPM ngoma inaanza kujiachia sasa inafyonza vizuri ukifikisha 3RPM jua uko speed ya 140KPH ama zaidi! Hapo unakung’utwa vilivyo inabwia utashangaa unapoteza fuel bars ndani ya muda mchache!Kwan spid humaliza mafut?
Alikuwa na soft foot! Maana kwa zile za kukaza mguu lazma angefika 3 RPM mara kwa mara!Kwa gari ya cc2500 itakuwa ulicontrol sana revs na hukuzidi 100km/hr i assume ili upate angalau 15km/ltr
Ile carpet tumeweka wenyewe lot one na lot 2 tulikuwa na kampuni inaitwa dot ya wahindi... hatari hatariHahahah ile carpet inashawishi kinoma!
Sina uzoefu nazoKwa diesel engines?