Matumizi ya maneno "hayati" na "marehemu"

Matumizi ya maneno "hayati" na "marehemu"

Yote sawa ila hayati ni lakijinga zaidi.
 
Kama tutakwenda kwenye chimbuko la maneno Marhum na al hayat, Marehemu ni mtu aliyekufa au mwendazake wakati hayati ni maisha kwa ujumla mfano, Al-Hayat Al-Dunya (The Life of This World]. Ni bahati mbaya kuwa neno hayati hutumika vibaya na kinyume cha maana yake halisi...
Binadamu na Bintadamu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom