Kama tutakwenda kwenye chimbuko la maneno Marhum na al hayat, Marehemu ni mtu aliyekufa au mwendazake wakati hayati ni maisha kwa ujumla mfano, Al-Hayat Al-Dunya (The Life of This World]. Ni bahati mbaya kuwa neno hayati hutumika vibaya na kinyume cha maana yake halisi...