Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau mambo vipi?
nimesoma gazeti moja pendwa linalotoka alhamisi nikapata hii stori ngoja niwape kwa ufupi
eti mastaa wa kike bongo wanadaiwa kuwa na matumizi makubwa ya pesa kwa siku ili kulinda umaarufu wao....................hii ni pamoja na kuepuka kupanda daladala,hivyo kutumia gari za kukodi,tax au usafiri wake mwenyewe ambao pia kuna gharama kubwa ya mafuta.gharama za simu na pia gharama za saloon na chakula ambazo pia inabidi achague eneo babkubwa kupata huduma ili kutunza heshima.pia imeongelewa kujirusha viwanja vikali.......
waliotoa matumizi yao kwa siku moja ni kama ifuatavyo:
dotnata........laki tatu kwa siku
aunt ezekiel...laki moja
ray c...........laki na ishirini
irene uwoya....mil mojajackline wolper...laki tatu
rose ndauka..laki tano
binafsi najiuliza je filamu za bongo zinalipa kiasi hiki kwa sasa?!!!!!!!
wanatia huruma lkn wanashindwa hata kutetewa sbb hawasemi ukweli badala yake wanaficha mateso yao kwa kujipa misifa ya uongo,
kuna siku nilikua ubongo plaza bank akaingia yule sijui ndo jackline wolper kwa mbwembe zote uzijuazo akawa anagomba kuwa alitaka kuchukua hela lkn atm mbovu imeshindwa kumpa pesa,basi yule teller akammwambia ac yake haina hela na sio tatizo la mashine zao.
weeeee, thubutu.wadau mambo vipi?
nimesoma gazeti moja pendwa linalotoka alhamisi nikapata hii stori ngoja niwape kwa ufupi
eti mastaa wa kike bongo wanadaiwa kuwa na matumizi makubwa ya pesa kwa siku ili kulinda umaarufu wao....................hii ni pamoja na kuepuka kupanda daladala,hivyo kutumia gari za kukodi,tax au usafiri wake mwenyewe ambao pia kuna gharama kubwa ya mafuta.gharama za simu na pia gharama za saloon na chakula ambazo pia inabidi achague eneo babkubwa kupata huduma ili kutunza heshima.pia imeongelewa kujirusha viwanja vikali.......
waliotoa matumizi yao kwa siku moja ni kama ifuatavyo:
dotnata........laki tatu kwa siku
aunt ezekiel...laki moja
ray c...........laki na ishirini
irene uwoya....mil moja
jackline wolper...laki tatu
rose ndauka..laki tano
binafsi najiuliza je filamu za bongo zinalipa kiasi hiki kwa sasa?!!!!!!!
Hahha haha sipati picha alijisikiaje duh!!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Ukweli kuhusu mishahara ya mastaa wa kike wa filamu bongo huu hapa;
Ikivuma kuwa vinara wa Nollywood, Nigeria wanavuta mkwanja mrefu katika filamu, hivyo kukwea utajiri, angalau kwa Bongo waigizaji masistaduu wanaweza kutaja maslahi wanayovuna kupitia kazi zao.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa Risasi Jumamosi, ifuatayo ni listi ya mastaa wa kike wanaoongoza kulipwa kama ambavyo wenyewe wametamka.
Jacqueline Wolper
Inawezekana akawa ndiye msanii wa kike anayelipwa zaidi kwani anadai kuwa mtu akitaka kumtumia kwa filamu nzima, basi awe na dau la shilingi mil. 3.
Wolper alidai alipozungumza na Risasi kuwa kwa kawaida, yeye huigiza kipande kimoja (scene) kuanzia shilingi 700,000 kwenda juu, hasa inapotokea picha yake inatumika kwenye ‘kava'.
Irene Uwoya,
Kwa upande wake alisema kuwa katika filamu nzima anazocheza hulipwa milioni mbili ngawira za kitanzania.
Uwoya alisema, wakati mwingine huangalia hali halisi na hufanya mazungumzo na mhusika ndipo huingia makubaliano na mtayarishaji.
Ilielezwa pia kuwa mbali na ‘mkwanja' huo, mtayarishaji wa filamu hutakiwa kumlipia Uwoya gharama za usafiri na matumizi yake yote akiwa hapa nchini kwa sababu kwa sasa anafanya maisha nchini Cyprus.
Aunt Ezekiel Grayson
Alidai kuwa bila shilingi milioni mbili huwezi kumchezesha filamu kwamba kwa kiasi hicho anaridhika kuuza sura filamu nzima bila kujali idadi ya vipande atakavyocheza.
Rose Ndauka
Alidai kuwa ukitaka kumtumia katika filamu yako ni lazima umlipe kuanzia shilingi milioni moja na chini ya hapo hawezi kuuza sura.
Jenifer Mwaipaja ‘Shumileta'
Alidai kuwa akicheza filamu za kawaida hulipwa kuanzia shilingi laki saba kwa kipande kimoja (scene) lakini anapokuwa katika nafasi ya mhusika mkuu, basi huanzia milioni moja na nusu kwenda juu.
Shumi alisema, makubaliano huchukua nafasi kubwa sana kwani mabosi wa kibongo huwa wanaeleweka.
Jacqueline Pentezel ‘wa Chuz
Alisema, hulipwa kuanzia laki mbili kwa kipande kimoja hivyo hutegemea na idadi ya vipande anavyocheza.
Shamsa Ford
Alisema kuwa kwa kawaida filamu nzima hulipwa shilingi 800,000.
Kuhusu wenzake kulipwa mamilioni alisema: "Aah, hao wengine wana majina yao, mimi bado."
Wengine walioongea na gazeti hili, walisema kuwa hawana viwango maalum kwa sababu hutegemeana na makubaliano kati yao na ‘prodyuza'.
Wakitumia sanasana ni 50thousand hadi laki kwa siku, na si zaidi ya hapo, vinginevyo ni mtu mahali anauawa na bili!
irene uwoya alidai analipwa m2 kuigiza filamu nzima kila anapokuja nchini kuigiza,na akija anaweza kukaa hata mwezi,ina maana kila akija anatumia si chini ya m25 lkn analipwa m2,si uongo huo!