Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga.
Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi
Aidha nimeongea na wa kulima wengi wanadai karanga hazifai kuwekwa mbolea.
Nimeamua nifanye majaribio ya kulima nusu heka ,sikupandia mbolea sasa nataka nitumie booster nione itakuwaje.
Kwa muktadha huu naomba mwenye ufahamu na ushahidi Ili nijilipue.
Karanga zina mwezi mmoja na tayari zimepaliliwa.