Ukitumia mbolea ya madukani hakikisha unaanza na samadi Kisha urea malizia na NPK au CAN Yan kupandia, kukuzia, na kuzalishia sikushauri upandie DAP Kisha UREA ukuzie na CAN kunenepeshea NinaAhsan
Ahsante,kiongozi ,karanga zangu soon zitaanza kutoa Maua....Ukitumia mbolea ya madukani hakikisha unaanza na samadi Kisha urea malizia na NPK au CAN Yan kupandia, kukuzia, na kuzalishia sikushauri upandie DAP Kisha UREA ukuzie na CAN kunenepeshea Nina sababu
Thanks!Booster ya Vigimax unaweza kupulizia kila baada ya week mbili
Mkuu Tafadhari sana mimi nililima kwenye shamba lilikuwa limewekewa mbolea ya samadi kwa wingi sana na akalima mara1 nami masika yaliyofuata nikalima karanga.Ni kwamba karanga zilikubali mno zilinawili hakuna mfano na zilizaa watoto wengi sana tena wakubwa cha ajabu ni kwamba kile cha ndani(karanga yenyewe) ni kadogo mno na kanakuwa na mwonekano wa kunyauka. Ndipo nilipoambiwa karanga na viazi havihitaji mbolea sana.Hawawezi kuja kwakuwa sio Uzi wa viraza huu ndugu.. KARANGA inafaa kuwekewa mbolea Kama mazao mengine unaweza kuweka kwa kuchota katika viganja vyako vya mkono na ukapanda kwa mistari katika mashimo Kisha ukaendelea na booster niliwahi kuweka hivyo nilivuna vizuri
Mkuu kabla hujachukua maamzi hayo soma hapo commeny no12. Nakushauri jaribu kwa kiasi kidogo uone kwanza matokeo.Ahsante,kiongozi ,karanga zangu soon zitaanza kutoa Maua....
Ndio unashauri ntumie CAN ,,Sikupandia mbolea!
Kwanini unampotosha huyo kwa jambo ambalo hata wewe haujui?Ukitumia mbolea ya madukani hakikisha unaanza na samadi Kisha urea malizia na NPK au CAN Yan kupandia, kukuzia, na kuzalishia sikushauri upandie DAP Kisha UREA ukuzie na CAN kunenepeshea Nina sababu
Nimeshangaa sana huyo mpuuzi anapotosha watu humu ndani eti karanga ziwekwe samadiMkuu Tafadhari sana mimi nililima kwenye shamba lilikuwa limewekewa mbolea ya samadi kwa wingi sana na akalima mara1 nami masika yaliyofuata nikalima karanga.Ni kwamba karanga zilikubali mno zilinawili hakuna mfano na zilizaa watoto wengi sana tena wakubwa cha ajabu ni kwamba kile cha ndani(karanga yenyewe) ni kadogo mno na kanakuwa na mwonekano wa kunyauka. Ndipo nilipoambiwa karanga na viazi havihitaji mbolea sana.
Kwa upande wa Viazi majani yanaweza yakawa mengi sana juu lakini kiazi kwa ndani ukakosa ukaambulia mizizi minene ama unaweza kupata viazi oversize ukikipika kinakuwa na mji maji hakina unga na saa nyingine hakiivi
hasa.Hii ni kwa uzoefu wangu kwa kuona mwenyewe!
Ok,una ushuhuda wowote?!Mkuu kabla hujachukua maamzi hayo soma hapo commeny no12. Nakushauri jaribu kwa kiasi kidogo uone kwanza matokeo.
Vipi kuhusu booster!Nimeshangaa sana huyo mpuuzi anapotosha watu humu ndani eti karanga ziwekwe samadi
Nimekuambia soma comment no12Ok,una ushuhuda wowote?!
KMkuu Tafadhari sana mimi nililima kwenye shamba lilikuwa limewekewa mbolea ya samadi kwa wingi sana na akalima mara1 nami masika yaliyofuata nikalima karanga.Ni kwamba karanga zilikubali mno zilinawili hakuna mfano na zilizaa watoto wengi sana tena wakubwa cha ajabu ni kwamba kile cha ndani(karanga yenyewe) ni kadogo mno na kanakuwa na mwonekano wa kunyauka. Ndipo nilipoambiwa karanga na viazi havihitaji mbolea sana.
Kwa upande wa Viazi majani yanaweza yakawa mengi sana juu lakini kiazi kwa ndani ukakosa ukaambulia mizizi minene ama unaweza kupata viazi oversize ukikipika kinakuwa na mji maji hakina unga na saa nyingine hakiivi
hasa.Hii ni kwa uzoefu wangu kwa kuona mwenyewe!
UpungufuMkuu Tafadhari sana mimi nililima kwenye shamba lilikuwa limewekewa mbolea ya samadi kwa wingi sana na akalima mara1 nami masika yaliyofuata nikalima karanga.Ni kwamba karanga zilikubali mno zilinawili hakuna mfano na zilizaa watoto wengi sana tena wakubwa cha ajabu ni kwamba kile cha ndani(karanga yenyewe) ni kadogo mno na kanakuwa na mwonekano wa kunyauka. Ndipo nilipoambiwa karanga na viazi havihitaji mbolea sana.
Kwa upande wa Viazi majani yanaweza yakawa mengi sana juu lakini kiazi kwa ndani ukakosa ukaambulia mizizi minene ama unaweza kupata viazi oversize ukikipika kinakuwa na mji maji hakina unga na saa nyingine hakiivi
hasa.Hii ni kwa uzoefu wangu kwa kuona mwenyewe!