PART ASIFIWE MALILA
Member
- Mar 21, 2024
- 36
- 73
Leoo tugusie kidogo kuhusu mbolea. Wakulima wengi hasa wale tuliozoea matumizi ya mbolea huwa tunapenda sana kutumia mbolea kama SA, DAP, UREA nk
Lakini umeshawahi kuwaza kutumia mbolea ya asili. Leo naomba nikupe pendekezo hili. Unapoanza kufanya hicho kilimo chako cha matunda unaweza kutumia nyasi kama mbolea.
Siku ya leo nitakupa mbinu za upandaji wa miche ya matunda kwa kutumia nyasi, hii itakusaidia sana katika kilimo chako.
Let's assume unapanda migomba, kwanza utaanza kwa kuchimba mashimo ya migomba, then chukua mimea yako kwa maana ya migomba halafu chukua mmea weka kwa shimo.
Baada ya hapo utaanza kuweka takataka katika shimo lako hadi hapo utakuwa umeshapanda mgomba tena bila ya kuweka udongo we subiri tu ndizi maana hauhitaji mbolea za ziada na sio lazima.
Jambo la msingi ni kuzingatia kuwa,maji ni muhimu katika mradi wako.
Asanteh kwa kusoma
Ninaitwa PART MALILA