PART ASIFIWE MALILA
Member
- Mar 21, 2024
- 36
- 73
Ubarikiwe piaBarikiwa sana mkulima.
Naaam kuweka mbolea wakati wa upandaji wa migomba tunaweka ile ambayo imeshakauka au inaku2a km udongo then baadae ukiendelea kukua tukifagia mbolea mbichi tunatandaza pembezoni mwake na yake mabaki ya majani tunatandika mgombani
Asanteh kwa maarifaNaaam kuweka mbolea wakati wa upandaji wa migomba tunaweka ile ambayo imeshakauka au inaku2a km udongo then baadae ukiendelea kukua tukifagia mbolea mbichi tunatandaza pembezoni mwake na yake mabaki ya majani tunatandika mgombani
Kwa watu wa mwika wanafagia mgomba unakuwa kma kichumini 😂 Ila home kwetu mgombani huoni ardhi meku
Sijapajua vizuri bwasheeNaaam kuweka mbolea wakati wa upandaji wa migomba tunaweka ile ambayo imeshakauka au inaku2a km udongo then baadae ukiendelea kukua tukifagia mbolea mbichi tunatandaza pembezoni mwake na yake mabaki ya majani tunatandika mgombani
Kwa watu wa mwika wanafagia mgomba unakuwa kma kichumini 😂 Ila home kwetu mgombani huoni ardhi meku
Mwika ni hii Kuna migomba sio mifupi wala mirefu ndo inapakana na rombo, ukitokea marangu mtoni ukiaachana na barabara ya kwenda kilema na getini hiyo nyingn unakuja nayo mpk mwika ama ukiwa himo ukishuka km unaenda holili Kuna junction utakutana nayo inaingia kushoto unapandisha mwika pia bwashee unapajua sana sema ni vile unaweza usijue ndo mwikaSijapajua vizuri bwashee
Hio nayo ni nzuriMimi huwa nafanya hivi.
Nachimba shimo refu kulingana na upatikanaji wa takataka hasa nyasi au majani makavu naweka kwa chini kisha naweka mchanga kiasi baada ya hapo naweka mti husika kisha naweka hiyo mboji au mchanga wa juu kabisa nilioweka pembeni ndo nafukia mazima.
Basi kama nikiwa na samadi nitachanganya huo mchanga na samadi kisha nafukia. Napiga maji wezele.
Iko vyedi,sorry una undungu na legend Malila ?Leoo tugusie kidogo kuhusu mbolea. Wakulima wengi hasa wale tuliozoea matumizi ya mbolea huwa tunapenda sana kutumia mbolea kama SA, DAP, UREA nk
Lakini umeshawahi kuwaza kutumia mbolea ya asili. Leo naomba nikupe pendekezo hili. Unapoanza kufanya hicho kilimo chako cha matunda unaweza kutumia nyasi kama mbolea.
Siku ya leo nitakupa mbinu za upandaji wa miche ya matunda kwa kutumia nyasi, hii itakusaidia sana katika kilimo chako.
Let's assume unapanda migomba, kwanza utaanza kwa kuchimba mashimo ya migomba, then chukua mimea yako kwa maana ya migomba halafu chukua mmea weka kwa shimo.
Baada ya hapo utaanza kuweka takataka katika shimo lako hadi hapo utakuwa umeshapanda mgomba tena bila ya kuweka udongo we subiri tu ndizi maana hauhitaji mbolea za ziada na sio lazima.
Jambo la msingi ni kuzingatia kuwa,maji ni muhimu katika mradi wako.
Asanteh kwa kusoma
Ninaitwa PART MALILA
Mimi huwa nafanya hivi.
Nachimba shimo refu kulingana na upatikanaji wa takataka hasa nyasi au majani makavu naweka kwa chini kisha naweka mchanga kiasi baada ya hapo naweka mti husika kisha naweka hiyo mboji au mchanga wa juu kabisa nilioweka pembeni ndo nafukia mazima.
Basi kama nikiwa na samadi nitachanganya huo mchanga na samadi kisha nafukia. Napiga maji wezele.
Mimi nyanya Moja hutoa matunda 214! Ni njia nilifundishwa na mzungu kutoka Australia akiniambia bustan y nyumbani ukilima hivyo utavuna nyanya Kwa miezi6 Hadi 9!mejaribu style hii kwa mche wa nyanya ..naona nyanya 28 zinakua na bado maua yanatoka mpk natamani kulima nyanya eka moja nzima maana
Toa update ya hii kadiri inavyowezekana mkuumejaribu style hii kwa mche wa nyanya ..naona nyanya 28 zinakua na bado maua yanatoka mpk natamani kulima nyanya eka moja nzima maana
Kabisa afanye hivyo!!!!Toa update ya hii kadiri inavyowezekana mkuu