Matumizi ya Methanol na Ethanol na athari za kiafya

Matumizi ya Methanol na Ethanol na athari za kiafya

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,229
Reaction score
610
Ukweli mchungu lakini utasaidia kuokoa maisha ya mtu mmoja au zaidi, hivi unajua kuwa baadhi ya pombe huchanganywa na vilevi vyenye hatari kiafya kwa mfana Methanol, Ethanol au Furfural ambavyo kwa asilimia kubwa huchangia kusababisha upofu na haitakiwi kunywewa na binadamu?

Najua watu wengi wanapenda kutumia vilevi kama Viroba bila kujua athari zake kiafya, pia watu wanatumia spiriti wakati wa kunyoa bila kujua spiriti inatchanganywa na Methanol wakati wa utengenezaji.
 
Naomba ututajie kabisa aina ya vinywaji vyenye mchanganyiko huo wa Methanol/ethanol ili tuviepuke, yaani dunia ya sasa kila kitu ni hatari kwa afya yako.
 
We wish to know athari katika methano na ethanol, naomba uelezee moja baada ya nyingine, tujifunze, kwa manufaa ya walevi,
 
Back
Top Bottom