Uko sahihiIli upate faida kupitia mkopo fanya yafuatayo
1. Uwe na biashara inayojiendesha kwa faida
Mfn. Faida kwa mwezi ni 500,000/= baada ya matumizi ya ofisi.
...
Biashara gani mkuu naweza kupata faida ya 500000 kwa mweziIli upate faida kupitia mkopo fanya yafuatayo
1. Uwe na biashara inayojiendesha kwa faida
Mfn. Faida kwa mwezi ni 500,000/= baada ya matumizi ya ofisi.
2. Kopa mkopo ambao marejesho yake hayafiki 500,000 unayoipata kama faida baada ya kutoa matumizi ya ofisi kwa mwezi
3. Hakikisha fedha yote unayokopa inaingia kwnye mzunguko wa biashara moja kwa moja, sio unakopa unaenda kulipa madeni hata kama ni madeni ya ofisi......
Mwenye swali niulize
Akili kubwa sana hii,,, [emoji120][emoji120]Ili upate faida kupitia mkopo fanya yafuatayo
1. Uwe na biashara inayojiendesha kwa faida
Mfn. Faida kwa mwezi ni 500,000/= baada ya matumizi ya ofisi.
2. Kopa mkopo ambao marejesho yake hayafiki 500,000 unayoipata kama faida baada ya kutoa matumizi ya ofisi kwa mwezi
3. Hakikisha fedha yote unayokopa inaingia kwnye mzunguko wa biashara moja kwa moja, sio unakopa unaenda kulipa madeni hata kama ni madeni ya ofisi......
Mwenye swali niulize
Mkuu mbona zipo nyingi tuu,,Biashara gani mkuu naweza kupata faida ya 500000 kwa mwezi
Biashara gani mkuu naweza kupata faida ya 500000 kwa mwezi