Matumizi ya mikopo

Matumizi ya mikopo

Quartz360

Senior Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
133
Reaction score
317
Hellooo!!! Wanajukwaa.

Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.

Ningependa kuwasilisha maada isemayo

Je? Ni yapi matumizi sahihi ya MIKOPO, na je unaweza kutumiaje pesa za watu wengine "OPM" (Other People's Money) kufanya investment bila kuathiri marejesho ya mkopo huo na wewe kuweza kupata profit.

Nawasilisha.

#MycountryPeople.
 
Nilichukuaga mkopo kilichonikuta [emoji23][emoji23][emoji23] mpaka leo sitaki kusikia habari ya mkopo,kwanza pesa za mkopo kwangu ni kama balaa sijui kwa wengine lakini.
 
Ili upate faida kupitia mkopo fanya yafuatayo

1. Uwe na biashara inayojiendesha kwa faida
Mfn. Faida kwa mwezi ni 500,000/= baada ya matumizi ya ofisi.

2. Kopa mkopo ambao marejesho yake hayafiki 500,000 unayoipata kama faida baada ya kutoa matumizi ya ofisi kwa mwezi

3. Hakikisha fedha yote unayokopa inaingia kwnye mzunguko wa biashara moja kwa moja, sio unakopa unaenda kulipa madeni hata kama ni madeni ya ofisi......

Mwenye swali niulize
 
...
Uko sahihi
 
Biashara gani mkuu naweza kupata faida ya 500000 kwa mwezi
 
Akili kubwa sana hii,,, [emoji120][emoji120]
 
Biashara gani mkuu naweza kupata faida ya 500000 kwa mwezi
Mkuu mbona zipo nyingi tuu,,
Mfano.
[emoji117]Kutoa huduma za kifedha
[emoji117] Biashara ya chakula
[emoji117] Biashara ya nafaka
[emoji117] Biashara ya usafirishaji

Kumbuka; Location, Ushindani,Usimamizi na ubunifu ni vitu vya kuzingatia.
 
Sijaelewa mantiki ya swali, yani ni ndogo au ni kubwa, sababu biashara nyingi ndogo ndogo hizi ndio faida mkuu, laki 2,laki 3,laki 4,5 mpaka milioni 1.

Mfano Mama ntilie wale wa barabarani unakuta akiuza akatoa gharama zake anabaki na faida 15,000 kwa siku, siku nyingine inashuka siku nyingine inazidi,kutegemea na location,matukio n.k

Mfano siku za Simba na Yanga zikicheza wale wa around uwanja wa Taifa wanaongeza kipimo cha mchele,nyama,unga e.t.c

Back
Top Bottom