Matumizi ya mitandao ya kijamii yanatofautiana na jamii husika, kuna mambo ya hovyo hapa , wakati wenzetu ulaya hawafanyi hayoNimekuwa nikitazama umuhimu wa mitandao ya Kijamii katika nchi yetu, lakini bado tunatatizo kubwa Sana la uelewa wa baadhi ya watu. Kwamfano: mtu kauliza swali, "Kuna watu watatoa majibu mazuri zuri tuu" lakini kuna watu "Hushusha matusi na vitu visivyo eleweka"
Hii ni kwanini?
Pia kuna mambo ya hovyo mitandaoni ambayo huko Ulaya wanayafanya sana kuliko hapaMatumizi ya mitandao ya kijamii yanatofautiana na jamii husika, kuna mambo ya hovyo hapa , wakati wenzetu ulaya hawafanyi hayo
Ila kuna mambo yanafanana
One thing about platform hizi zimewapa sauti baadhi ya watu