Matumizi ya mtandao wa Threads yameporomoka kwa zaidi ya 60%

Matumizi ya mtandao wa Threads yameporomoka kwa zaidi ya 60%

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Matumizi ama daily usage ya mtandao wa Threads yameporomoka kwa zaidi ya 60%.

That App will die a natural death. Madhara ya kutofanya innovation na ku copy.

Blud alibet kwamba kwakua Musk ana endesha twitter vibaya basi akileta clone ya Twitter atawin followers.

He could have added something that Twitter lacks na sio ku clone. People have no reason to quit Twitter for Twitter.
 
Niliingia mara moja sijarudi tena...ule aliofanya Mark ni ujinga,sijui kwanini kashindwa kufanya ubunifu.
 
Uko sahihi.

Mark hakupiga hesabu vizuri. Alifikiri wafuasi wake wa instagram watakua makondoo wake, wamemgeuka.

Twitter ina vitu vingi sana vya kufurahisha, Threads bado sana.

Musk haongozi Twitter vibaya bali hataki kupelekeshwa na mamlaka na watu kumwambia namna anavyotakiwa kuendesha twitter.

Pia Mark ana sifa mbaya ya kubana maoni ya watu kwa maelekezo ya serikali hasa kipindi cha covid, hivyo bado hawajashawishi watu kwamba hataendelea na hiyo tabia yake.
 
Niliingia mara moja sijarudi tena...ule aliofanya Mark ni ujinga,sijui kwanini kashindwa kufanya ubunifu.
Kosa kubwa la mark ni copy and paste. Taasisi kubwa kama meta inakimbilia kunakili kazi za watu ni aibu ya mwaka.
 
Back
Top Bottom