Kasome katibaKwa hiyo Tanzania tunazo ofisi 4 za Rais Wastaafu?
Waswahili hawawezi kutulia!Kasome katiba
Pia kuna nyumba 4,magari,wainzi,wahudumu,wasaidizi ofisini,na posho ya 80% ya mshahara wa Rais alie madarakani
Hii ni kumfanya mstaafu atulie,lakini bado tu watu wanawashwa washwa
ungelalamika kama angekuwa aatumia PRESIDENTIAL STANDARDKasome katiba
Pia kuna nyumba 4,magari,wainzi,wahudumu,wasaidizi ofisini,na posho ya 80% ya mshahara wa Rais alie madarakani
Hii ni kumfanya mstaafu atulie,lakini bado tu watu wanawashwa washwa
Kabisa na pia nafasi ya kutibiwa kokote (hata nje ya nchi).Kumbe mstaafu anapata mshahara 80% ya rais wa sasa
Kudadeki sasa ustaafu unakujaje hapoKasome katiba
Pia kuna nyumba 4,magari,wainzi,wahudumu,wasaidizi ofisini,na posho ya 80% ya mshahara wa Rais alie madarakani
Hii ni kumfanya mstaafu atulie,lakini bado tu watu wanawashwa washwa
3Kuna waraka ulioandikwa hivi karibuni na Ofisi ya Rais Mstaafu.
Mie nilikuwa sijui, au sijui nimejichanganya, kumbe hata ukistaafu Urais unabaki na Ofisi ya Rais Mstaafu?
Kwa hiyo Tanzania tunazo ofisi 4 za Rais Wastaafu?
Na matumizi ya nembo ya Rais imekaaje hapo. Najaribu kuwaza kwa maandishi.
Naomba nisaidiwe
Ngao ya bibi na bwana siyo nembo ya rais ni nembo ya Taifa
Nadhani kuna sheria ya matumizi ya nembo hiyo labda ulete kifungu cha sheria juu ya matumizi yake tuone inakuwaje
Ndio maana Marais wote hupandisha Mishahara yao wanapokaribia kustaafu Ili 80% watakayoipata atakapokuja mwingine iwe Sawa na mshahara anaoupata akiwa madarakani.Kumbe mstaafu anapata mshahara 80% ya rais wa sasa
Kwahiyo Mwinyi anapokea 80% ya mkapa? Kikwete au Magufuri?Kasome katiba
Pia kuna nyumba 4,magari,wainzi,wahudumu,wasaidizi ofisini,na posho ya 80% ya mshahara wa Rais alie madarakani
Hii ni kumfanya mstaafu atulie,lakini bado tu watu wanawashwa washwa
Kwahiyo Mwinyi anapokea 80% ya mkapa? Kikwete au Magufuri?
Hii sio kabsa, ndio maana Nyerere alisema kuwa na marais wengi wastaafu ni mzigo lkn potelea mbaliYa Rais aliyeko madarakani.