Matumizi ya nembo ya Rais kwa Rais Mstaafu yapoje?

Matumizi ya nembo ya Rais kwa Rais Mstaafu yapoje?

Waraka wa maaskofu au waraka upi?
Haya mambo yapo kikatiba,just google it!

👇
Kuna waraka ulioandikwa hivi karibuni na Ofisi ya Rais Mstaafu.

Mie nilikuwa sijui, au sijui nimejichanganya, kumbe hata ukistaafu Urais unabaki na Ofisi ya Rais Mstaafu?
 
👇
Kuna waraka ulioandikwa hivi karibuni na Ofisi ya Rais Mstaafu.

Mie nilikuwa sijui, au sijui nimejichanganya, kumbe hata ukistaafu Urais unabaki na Ofisi ya Rais Mstaafu?
Ulitaka uandikwe umetoka kwenye ofisi ya Rais alie madarakani?
 
Na amini usiamini itafika kipindi tutakuwa na marais awamu 4 zote ukitoa awamu ya kwanza ya j.k watakuwa wanatumbua tu kodi zetu maana huyu wa awamu ya pili haoneshi hata dalili ya kukiss the soil.
 
[emoji116]
Kuna waraka ulioandikwa hivi karibuni na Ofisi ya Rais Mstaafu.

Mie nilikuwa sijui, au sijui nimejichanganya, kumbe hata ukistaafu Urais unabaki na Ofisi ya Rais Mstaafu?
Rais ni mtu mkubwa Sana'a!!
Kama hata ndugu yako mmoja tu akiwa rais basi ujue maisha umeyapatia mpaka kufa kwako,wewe na hata wajukuu zako!
 
Kwahiyo Mwinyi anapokea 80% ya mkapa? Kikwete au Magufuri?

Yan hawa jamaa wanapiga hela acha tu. Wanappokea 80% ya JPM

Halafu bado hupewa ulinzi, msaidizi, katibu muhtasi, mhudumu wa ofisi, mpishi, dobi, mtumishi wa ndani, mtunza bustani, madereva wawili na gharama za mazishi atakapofariki.
Pia anapewa pasi ya kusafiria ya hadhi ya kidiplomasia, yeye pamoja na mke au mume wake, pia hulipwa gharama za matibabu ndani au nje ya nchi.

Baada ya kustaafu rais pia hulipiwa matengenezo ya magari mawili yenye uzito usiopungua tani tatu, ambayo hutolewa na Serikali, ambayo pia hubadilishwa kila baada ya miaka mitano.

Kama hiyo haitoshi, Rais pia hujengewa nyumba mpya, ambayo ni lazima iwe na vyumba angalau vinne, viwili kati ya hivyo ni lazima viwe na huduma zote ndani (self-contained).

Aidha, nyumba hiyo ni lazima iwe na ofisi iliyokamilika na nyumba kwa ajili ya mfanyakazi wake.

Na anapofariki basi mkewake/mmewake atakua analamba 40% ya aliyeko madarakani kila mwezi mpaka Mungu atakapomtwaa naye
 
Hii sio kabsa, ndio maana Nyerere alisema kuwa na marais wengi wastaafu ni mzigo lkn potelea mbali
mpaka MAma Maria Nyerere pia anachukua asilimia 80% ya rais aliepo mamlakani kwa niaba ya mumewe,, na kwa mawaziri wakuu pia ni utaratibu huohuo, Sumaye anachukua mshahara asilimia 80% ya Majaliwa na wote had malecela etc
 
Bora tunaendelea na Rais mmoja tu mpaka kifo kimkute kuliko kuwa na wastaafu wengi hesabu zinayumba sana wakuu naona Mseveni yuko sawa.
 
Back
Top Bottom