Matumizi ya neno Cc

Thank u kwa kunielewa

Tangu JF inaanzishwa haya matumizi yalikuwepo,sijaanzisha thread kumnanga mtu
Kwa raha zetuuuu na mtukomeeee

cc Smart911
 
Reactions: BAK
Mtoa mada...

Cc huifanyi peke yake kama ilivyo...

Una cc: alafu unandika @ na jina la muhusika.. Bila kuacha space kati ya @ na jina la muhusika...Then automatic anapelekewa notification kwamba unamuita aje...

Cc: mahondaw
 
Ndicho nilichokuwa nakiwasilisha hapa maana kuna sehemu unakuta mtu kaandika cc numbisa bila tag hivyo inakua ngumu kuona hio cc huko ilipowekwa bora wakiweka cc wamtag na mhusika apate notification

Siyo wote wanaojua...

Cc: mahondaw
 
Kwa kizungu wanaita Carbon Copy, mimi huwa natumia hilo neno kumuita mtu fulani na yeye aje achangie mada husika kwa kutoa ufafanuzi na sio kwa show off

Cc😡Numbisa
Zamani wakati wa Typewriter cc ilimaanisha carbon copy ila kwa sasa cc ni copy circulated. Na cc inaandikwa kwa herufi ndogo sio Cc.
 
Mtoa mada...

Cc huifanyi peke yake kama ilivyo...

Una cc: alafu unandika @ na jina la muhusika.. Bila kuacha space kati ya @ na jina la muhusika...Then automatic anapelekewa notification kwamba unamuita aje...

Cc: mahondaw

Elimu haina mwisho Smart911 papaa wape somo wape somo
 
Asante kwa darasa mkuu...
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…