Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The issue is, hizo cc hapa JF zina function nakuleta effect ile inayokusudiwa kama kwenye email? Nadhani mleta mada ndipo alipokusudia mpaka akasema au ni show off tu.
Binafsi natumia simu mara nyingi kuingia jf na kwa uzoefu wangu naona ukitumia @ ikifuatiwa na jina la unaemkusudia ndio inaleta effect ambayo ni kumtag muhusika. Same applied in computer ukitumia @ na herufi kadhaa za muhusika itakurahisishia kabisa na ku-ssugest ni nani unataka umtag.
Now the qn is.....Hiyo cc inafanya kazi ya kutag sawa sawa na hiyo @ au ni mazoea tu ya matumizi ya hiyo abbreviation?
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kiruuuuuuu
Mtoa mada...
Cc huifanyi peke yake kama ilivyo...
Una cc: alafu unandika @ na jina la muhusika.. Bila kuacha space kati ya @ na jina la muhusika...Then automatic anapelekewa notification kwamba unamuita aje...
Cc: mahondaw
Zamani wakati wa Typewriter cc ilimaanisha carbon copy ila kwa sasa cc ni copy circulated. Na cc inaandikwa kwa herufi ndogo sio Cc.Kwa kizungu wanaita Carbon Copy, mimi huwa natumia hilo neno kumuita mtu fulani na yeye aje achangie mada husika kwa kutoa ufafanuzi na sio kwa show off
Cc😡Numbisa
Asante kwa darasa mkuu...Niongezee CARBON COPY
Huu ni msamiati unatumiwa kwenye e-mail kunakuwa na carbon copy na blind carbon copy matumizi yake ni kama ifuatavyo:
mfano unataka kutuma e-mail kwa Numbisa Jovitha mahondaw Smart911 Troll JF Hance Mtanashati
kwenye kutuma unaweza ukamtumia Numbisa, jovitha na mahondaw ila kama unataka smart911, trol jf na hance mtanashati wajuane kwamba e-mail moja umewatumia wote na wote wanajua nani aliyetumiwa ndo hapo CC INAPOCHEZA
Ila kama hutaki wajuane ndo BCC inahusika ila kunakuwa na taarifa kwamba na wengine wametumiwa ujumbe huo bila kukupa taarifa ni nani hao
Thank you..Zamani wakati wa Typewriter cc ilimaanisha carbon copy ila kwa sasa cc ni copy circulated. Na cc inaandikwa kwa herufi ndogo sio Cc.