Matumizi ya neno Cc

Hata mi hii "Cc"nilikuwa naiona tu lakn nilikuw najua labda ni urembo tu katka uandishi
 
Hebu na sisi tukutane jioni pale pa siku zote tupate kuyajenga namna ya kutumia hiyo Cc.

Numbisa usikose.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Numbisa baiskeli yake haiwezi kufika, kuna matope njiani.

Kwa hiyo tutakuwa peke yetu tu.
 
Elimu ya watu wazima ngumbaro,nafanya home work msinichungulie

cc@kubwajingajr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…