Mzima mamy za Kwako? Sijakuona muda kidogo au ni mimi na matatizo yangu ya bandle [emoji38]Wacha wee. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mzima?
Huku salama my. Nipo ila nadhani tunapishana my mana jf kubwa. [emoji2] [emoji2] .Mzima mamy za Kwako? Sijakuona muda kidogo au ni mimi na matatizo yangu ya bandle [emoji38]
Nimeshakukariri hapa ubadili rangi ntakufahamu tu
Ni kweli acha tuendelee kupata ujuzi, tatizo mie nikijifunza kitu ni mwepesi kusahau [emoji28][emoji28][emoji28]Huku salama my. Nipo ila nadhani tunapishana my mana jf kubwa. [emoji2] [emoji2] .
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamaani my kwa hili huwezi kusahau bana.Ni kweli acha tuendelee kupata ujuzi, tatizo mie nikijifunza kitu ni mwepesi kusahau [emoji28][emoji28][emoji28]
Nitajitahidi nisimuangushe mwalimu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamaani my kwa hili huwezi kusahau bana.
Kweli kabisa my. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nitajitahidi nisimuangushe mwalimu
Hahahahaa don rai bana
Naombeni kufahamu maana na matumizi ya neno Cc humu JF. Je lengo ni kumuita mtu au kumtaja tu?
Mara nyingi huwa naona watu wana andika cc fulani bila kumtag mhusika sasa najiuliza usipomtag mhusika atajuaje umemcc kwenye huo uzi?au neno Cc ilinawekwa tu kama showoff?
Pongezi kwa wale wanao weka cc kisha wanamtag na mhusika ili aone na kuwahi eneo la tukio.
Mfano Cc Numbisa
Cc @ andika jina la mhusika bila kuruka mstar hapo kwenye @ na jina
Kama hela zipo nakuibukia live hahaah