Matumizi ya neno Cc

Matumizi ya neno Cc

Naombeni kufahamu maana na matumizi ya neno Cc humu JF. Je lengo ni kumuita mtu au kumtaja tu?

Mara nyingi huwa naona watu wana andika cc fulani bila kumtag mhusika sasa najiuliza usipomtag mhusika atajuaje umemcc kwenye huo uzi?au neno Cc ilinawekwa tu kama showoff?

Pongezi kwa wale wanao weka cc kisha wanamtag na mhusika ili aone na kuwahi eneo la tukio.

Mfano Cc Numbisa

Cc @ andika jina la mhusika bila kuruka mstar hapo kwenye @ na jina

Maana yake nakala nyingine ni ya fulani maana yake ni carbon copy.in case you wonder kuna hadi bcc maana yake ni blind carbon copy
 
Back
Top Bottom